MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
Wakubwa tunamiliki mijumba😁😁kama hauna nyumba weye ni dogo.Halafu nani dogo?, nita kuchapa kudadadeki
Miliki nyumba uitwe baba mwenye nyumba hileeeee🤣Halafu nani dogo?, nita kuchapa kudadadeki
Na haishi mwenyewe kafugia bata🤣🤣Hivi haya mawazo ya kimasikini mnayatolea wapi?
Unajenga ili iweje na kwa faida ya nani?
Wote tukimiliki nyumba nani atapanga?
Tuacheni kuyaogopa maisha bhana 😂😂😂
NB: Niliyemsikia akisema haya maneno sasahivi amesimamisha boma 😂
Sawa mshangazi 😁Wakubwa tunamiliki mijumba😁😁kama hauna nyumba weye ni dogo.
Miliki nyumba uitwe baba mwenye nyumba hileeeee🤣
Kwamba ni mubaba🤣
Wazee walinambia ukipata mke umepata boma. Kwani boma ni nini wakuu kama siyo nyumba?Mimi kama raisi wa ma jobless pro max, nime ona niitishe kikao hiki cha dharura.
Lengo la kuitisha kikao hiki ni kujua idadi ya ma jobless tusio na nyumba ,
maana humu jf kila niki zunguka kila mtu ana nyumba au mjengo mkali na wa maana.
tuki ijua idadi yetu, tuna weza tuka ungana kuweka mgomo ili watu punguzie Kodi, au tumchangie mmoja wetu apate wa kwake 😂😂🦅.
I mean no malice to nobody
View attachment 3420444
Kwa hiyo kama mzaz hanaWakubwa tunamiliki mijumba😁😁kama hauna nyumba weye ni dogo.
Miliki nyumba uitwe baba mwenye nyumba hileeeee🤣
🤣🤣🤣,Eti mshangazi,,,mie ni gu mshangazi🤣Sawa mshangazi 😁
Haya mbona ndio maisha yangu kabisa 🦅Ninayo ipo mkoa Kuna muda natamani niibebe kuileta Huku dar es salaam Tanzania.
Natania tuu sina nyumba,sina kazi, sina pesa, sina garii sina Kila kitu ni mtu wa kuonewaa HURUMAAA
Natamani hata ajitokeze mtu anipe 10k ya haraka haraka nimudu maisha ya Leo 🤕 🤕
YhKwamba ni mubaba🤣
Halafu ghafla uka jiunga team kataa ndoa kudadadekiWazee walinambia ukipata mke umepata boma. Kwani boma ni nini wakuu kama siyo nyumba?
😁Kwa hiyo kama mzaz hana
Utamuita dogo?
Aaah waaapi🤣
au ni ki mshangazi?🤣🤣🤣,Eti mshangazi,,,mie ni gu mshangazi🤣
ata jifanya haoni hili swali😂🦅Kwa hiyo kama mzaz hana
Utamuita dogo?
Sasahivi anasubiri mtonyo ili apaue halafu bado anasema “Nikimaliza ujenzi naenda kupanga karibu na kwangu”Na haishi mwenyewe kafugia bata🤣🤣
Hahaha, muone.au ni ki mshangazi?
Sijaona kweli🏃🏃ata jifanya haoni hili swali😂🦅
Oya usiite hilo jina mapigo ya mbio yanaenda moyo 😂Sawa mshangazi 😁
Sawa mapengo 🦅Hahaha, muone.