Tusio na nyumba tukutane hapa

Je una nyumba?

  • Ndio nina nyumba

    Votes: 23 29.1%
  • Sina nyumba

    Votes: 27 34.2%
  • Kikubwa uzima

    Votes: 29 36.7%

  • Total voters
    79
Ninalo pagale pasaka ya mwakani nalihamia kibabe, ngoja nifanye plumbing na kuweka grill
 
Mkuu, tupeane huu mchongo mkuu niandae tu nauli ya laki mbili kwenda na kurudi ili nikanunue hicho kiwanja kinachoshindwa bei na nauli
Wengine kutongoza kwa kusema i love you uwa tunaona aibu kaka .

Hii ni mbinu mdada mmoja ajichanganye kuzama PM nimuwowe .

Wewe kaa pembeni gwaride linapita mzee
 
kwa kweli Mungu awasaidie, hakuna kitu cha raha kama kukaa nyumbani kwako, haudaiwi kodi, unatumia umeme,maji na chochote upendavyo hata ikija garama kubwa haiumi kwa sababu unaona ni garama ya nyumbani kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…