Tusioenda Uwanja wa Taifa tujuzane Viwanja vya kwenda shuhudia Stars.

Kanali G

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
9,898
Reaction score
14,413
Kama tunavyojua leo timu yetu ya Taifa itakuwa ikitafuta tiketi ya Afcon.Kwa wale tutakaokosa nafasi ya kwenda Uwanjani tujuzane sehemu ya kwenda shuhudia mtanange huo,binafsi nafikiria kuwa maeneo ya Kilimani pub Kimara au 40-40 Tabata nikitaraji kunywa Castle lite kwa buku. Nina mshikaji yuko Dodoma atakuwa Platnamz. Wewe unatarajia kuwa Kiwanja gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakuwa TIPS na check game huku shushia na wine aina FOUR COUSIN kubwa.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi hard drinks hazijapewa punguzo? mm nitakuwa gheto na jirani zangu mbashara na k- vant yangu kubwa nikisubili msuva achane nyavu za cranes.
 
Chief - Nishtue ukifika hapo Kilimani - tuiwahi hii "offer" ya Makonda......Mimi ni Mdau wa hapo Kilimani...
 
Villa park Mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...

tanzania 1
capeverde 1×
south africa win or draw

kwa wazee wa mikeka
weka mzigo mrefu ili kumkalisha kanji bhai
 
Kilimani pub ndiyo kimara IPI nikuunge mkono, maana nami Niko kimara mida hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…