Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Kama tunavyojua leo timu yetu ya Taifa itakuwa ikitafuta tiketi ya Afcon.Kwa wale tutakaokosa nafasi ya kwenda Uwanjani tujuzane sehemu ya kwenda shuhudia mtanange huo,binafsi nafikiria kuwa maeneo ya Kilimani pub Kimara au 40-40 Tabata nikitaraji kunywa Castle lite kwa buku. Nina mshikaji yuko Dodoma atakuwa Platnamz. Wewe unatarajia kuwa Kiwanja gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app