Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

Duuh hizi ni tuhuma kwa kidoti boy
 
Kwani ulikua hujui? Kama unataka kula mibibi ya kizungu sema tukupe connection wanakulipa per dollar.

Wamasai ndo kazi zao hzo
 
Ina maana Kikhanga analipwa huko US na mabibi?!
 
Hiki kitu Cha mkongo Ni kweli Kiko effective? Au Ni maneno ya madereva wa madaladala?
Maneno tu hakuna kitu. Ni kama ilivyokua inasifiwa pweza, kwani leo haisifiwi ama pweza wameisha baharini?

Zamani ilikua mayai ya kware, siku hizi unasikia hilo ama kware hawapo tena?

Hilo vumbi la kongo ama kasongo 7 hakuna kitu chochote.
 
Rudi darasani. Hujui kuandika Kiswahili, achilia mbali huna la maana unaloandika. Sentensi moja ndefu kama paragraph unamwaga upupu wako wote utadhani umeishiwa na karatasi.
That's harsh!
 
Popoma katika kiwango chako cha juu kabisa cha upopo-ma.
 
Just how many standards in your «this standards Three English of yours»?

Would you mind explaining Sir?
I don't have that time to Waste explaining to an authentic dimwit like you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…