Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,984
Mzee Warioba na Butiku wanaweza wakashindwa kutumia heshima waliuyopewa na Mwenyenzi Mungu kuwajaalia afya njema lakini pia na Taifa Kwa hekima na busara zao.
Wazee Hawa wamekuwa wakitumika mara kwa mara pale CCM inapolikoroga,utumika kuwa njia ya maridhiano na kwa miaka yote walioshirikishwa kuwa daraja hakuna siku wamewahi kuvusha watu kinyume na maslahi ya CCM. Maamuzi na mikakati yao imeegemea zaidi CCM nakuacha Taifa pembeni.
Binadamu upitiwa na akipitiwa ukumbushwa. Naomba niwakumbushe wazee Hawa kwamba watanzania wanaweza kuendelea kuwepo bila kuwepo Kwa ccm lakini ni vigumu CCM kuwepo bila Watanzania. Endapo kwao wao usuluhishi nikuongea Kwa uka dhidi ya wasio na Madara na kuongea Kwa upole Tena gizani dhidi ya wenye madaraka basi wao wamechagua kutumikia chama na kuliacha Taifa.
Tumepita pagumu hatuwaoni wakikemea adharani Ila tunasikia wakisuluhisha gizani, siyo kwamba awajui umuhimu wao Katika kusema adharani Bali wanatambua wakisema ukweli adharani watawala watakasirika. Je, hawawoni kwamba Sasa ni Muda wao kuwasemea na kuwasimamia watawaliwa? Lini watatambua kwamba ukimya wao umetunyima kupiga hatua? Wamepewa nafasi ya Musa lakini wanawaza kutuweka utumwani Misri badala ya kutufikisha nchi ya ahadi.
Niwaombe Watanzania tusiwafumbie macho wazee Hawa, tuwaambie ukweli kwamba kama wanafurahishwa na Hali ilivyo Tanzania kisiasa basi poa Ila kama wanatambua Hali si shwari na hakuna mmoja Kati yao aliyeamua kuzungumza adharani dhidi ya watawala basi kesho yeti isipokuwa nzuri watakuwa wamechangia.
Niwaombe wazee wenzangu tujipoge kifua na kusema hakuna Mzee mnafiki. Mambo ya Giza tuwaachie vijana sisi wazee tukemee kwa usawa.