Kuna watu wa Chadema ndaki ndaki wanaoenda kupinga kila kitu kiasi cha kumpiga madongo mwenyekiti wao. Kwao ni ule utamaduni wa kulalama tu na wanapata shida kumpongeza Mbowe lakini vilevile hawawezi kupongeza Rais hata kama kafanya mazuri.
Lakini kuna kundi la CCM nalo ni kama Chadema wananufaika na mabishano yasiyo na msingi. Lakini baya zaidi kulikuwa na viongozi wa usalama wa nchi yetu ambayo walikuwa wanamtisha kwa uongo Raisi Samia kuhusu upinzani. Kumbe Mbowe sio gaidi! kama walipofika kumwaminisha Rais.
Haya aliyosema jana Raisi Samia ni pongezi kwake lakini tusimsahu Mbowe ambaye ameweka Uzalendo mbele. Sio aibu kupongeza kama viongozi wanastahili na sio kukosoa kila mara.