Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

Ni kama Danguro la online.
Yaani wale wanawake unaowaona wanafanya biashara kule Kinondoni,Sinza pia unaweza kuwapata online mnapatana na delivery wanafanya kwa maelewano.
Aiseee ko ni mtandao wa kibongo au wapo wanawake wa nchi tofauti tofauti?
 
Na hapa JF unafanya nini?
 
Hivi wewe unatumia au hutumii?iwapo jibu lako likiwa hutumii.Itakuwa mimi na wewe hatutumii!
 
Mitandao ina faida kubwa sana kwenye biashara na wafanyabiashara wengi wameziona fursa ila kwa mtumiaji wa kawaida hasara ni nyingi kuliko faida maana lengo kuu la social media halipo tena.

Ukiangalia upande wa content creators, wao wanafanya kazi ya kuburudisha, kuelimisha, na kupitia huko wanapata endorsement deals, kupitia wao biashara zinatangazwa n.k. lakini ukija kumuangalia consumer ana-trade time na focus yake kwenye vitu visivyo na msingi.

Washindi kwenye social media kwa sasa ni, Tech companies, ISP, na content creators. Consumers wanapoteza muda tu kwasababu, ukitaka educational content zipo YouTube, ukitaka entertainment zipo YouTube na streaming platforms, connecting ipo WhatsApp, news & information zipo website, shopping zipo websites za ndani na za kimataifa.

Social media imekuwa kama sehemu ya entertainment zaidi kuliko mawasiliano.
 
Aiseee ko ni mtandao wa kibongo au wapo wanawake wa nchi tofauti tofauti?
Ni mtandao wa kimataifa upo duniani kote.
Mahali popote ulipo unaset location ulipo kisha inakuletea orodha ya hao wafanyabiashara na wateja pia waliopo karibu na eneo ulipo wewe.
 
Kila kitu ukitumia kwa weledi na ukiasi ni kizuri
 
Reactions: Lax
Jf sio Social Media ni Forum
Mtandao wa kijamii, ni jukwaa lolote wa mtandaoni amabalo watu wanaweza kushiriki mawazo yao, ubunifu wao na hisia zao kama kulike kitu au kitoa mtazamo wao. Hiyo yote ni mitandao ya kijamii including Jamii Forum. Tafuta maana ya social media alafu ujiulize kama hivyo vitu havifanyiki hapa.

Iyo Forum hapo ni jina tu la mtandao na sio maana yake hasa.
 

Inategemea na akili yako mkuu mfano hapa JF Mimi kuna majukwaa huwa sitembelei Kama MMU , Sport , kwakuwa najua sito gain kitu.


So FAIDA za mitandao ni nyingi Sana Ila ili uone faida ya kitu lazima ujue njia sahihi ya kutumia hicho kitu.

Dunia ya Leo hauwezi kujitenga na mtandao
 
Jf sio Social Media ni Forum
Mtandao wa kijamii, ni jukwaa lolote la mtandaoni ambalo watu wanaweza kushiriki mawazo yao, ubunifu wao na hisia zao kama kulike kitu au kitoa mtazamo wao. Hiyo yote ni mitandao ya kijamii including Jamii Forum. Tafuta maana ya social media alafu ujiulize kama hivyo vitu havifanyiki hapa.

Iyo Forum hapo ni jina tu la mtandao na sio maana yake hasa.
 
Reactions: Lax
Tofautisha kati ya Social Media na Forum. JF ni Jukwaa la Mtandaoni.
Mtandao wa kijamii, ni jukwaa lolote wa mtandaoni amabalo watu wanaweza kushiriki mawazo yao, ubunifu wao na hisia zao kama kulike kitu au kitoa mtazamo wao. Hiyo yote ni mitandao ya kijamii including Jamii Forum. Tafuta maana ya social media alafu ujiulize kama hivyo vitu havifanyiki hapa.
 
Kwa mtu anayependa kujifunza na kupata habari mpya hawezi kuitenga mitandao ya kijamii. La sivyo utakuwa unaishi km mtu ambaye yupo 20th century.

Kila kitu utakuwa unauliza uliza tu kama zuzu.

Siku hizi habari zote muhimu zinatolewa kwenye mitandao ya kijamii. Nyie ambao hamtumii hii mitandao mnapataje habari au mnanunua magazeti na kusubiri taarifa ya habari saa 2 usiku

Note: information is power
 
Mkuu! Ngoja uuone uraibu wa JF.
Jamiiforums uraibu ilikuwa nao zamani siyo leo,kuna kipindi ukiingia humu ulikuwa unakutana na mada za moto wachangiaji akili kubwa leo mna mpaka mashoga wanaojionyesha live.

Mada za kiccm unakuta page nzima imejaa habari za kusifia ujinga kila mtu mama hivi mama vile,kuna wakati mtu alikuwa akiniambia ipo siku nitakuwa naingia JF wakati ambao nipo idle tu ningekataa maana kipindi hicho nilikuwa natamani kila saa niwepo humu siyo leo naweza nikakaa kutwa nzima nimeingia mara mbili tu na zenyewe kwa muda mfupi sana.
 
Sina insta sina mtandao x mingine ipo na si kwamba naitumia vibaya No kibiashara then 👀refresh minds 🧠
 
Ni mtandao wa kimataifa upo duniani kote.
Mahali popote ulipo unaset location ulipo kisha inakuletea orodha ya hao wafanyabiashara na wateja pia waliopo karibu na eneo ulipo wewe.
Wafanyabiashara wa ngono? Au kuna biashara mbali mbali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…