Tusiotumia mitandao ya kijamii tujuane!

Nilipoona umewahi kuwa mtumiaji wa snapchat nikawq curious kufahamu jinsia yako. Sijui kwanini huwa naunasibisha huo mtandao na jinsia fulani.
 
Nilipoona umewahi kuwa mtumiaji wa snapchat nikawq curious kufahamu jinsia yako. Sijui kwanini huwa naunasibisha huo mtandao na jinsia fulani.
Nilitumia Snapchat kipindi bado ni messaging-first app, walipo-shift kuwa full-fledged camera platform nikafuta account. Kama ilivyokuwa tu kwa Musical.ly walipobadili jina kwenda TikTok nikafuta account.
 
Hongera mkuu wengine social media tofautitofauti ndo ajira zetu



Full stop,kwishaaaaaa
 
YAAN KAMA WATOTO
HAITOSHI MITANDAO YAKIIJINGA IMEJAA SIASA ZA AJABU AJABU

HAITOSHI MM NA SIASA N NYOK....

NAWATQKIA KILA.LA KHERI WOTE MLIO FB MEMBERS WANGU
 
Otherwise upande wa jf Jukwaa la siasa gdnyt all too huko tukutane Dec 01 2025
 
JF ndio na Quora ndio mitandao pekee ninaotumia kwa sasa,kama nitaona umuhimu kutumia mitandao mingine labda iwe kibiashara,
JF ukiitumia vizuri unakua mbele ya muda sikuzote.
Quora ukiitumia vizuri utakua na maarifa mengi sana ya kidunia ambayo wengi hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…