Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

Tusipangiane, hata wewe unaweza kwenda Ulaya kupitia shughuli unazofanya

Vhagar

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
20,550
Reaction score
39,949
“Hata shabiki nae ana fursa ya kwenda Ulaya vile vile kwa biashara zake anazofanya. Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya. Hata ulaya wanatumia mkaa pia wakauze mkaa ulaya. Usimpangie mtu kwenye shughuli yake,” Ibrahim Ajib

Yuko sahihi au maneno ya mtu aliyefeli?
 
Kama wanadhani kwenda ulaya ni rahisi basi shughuli zao pia ziwapeleke Ulaya[emoji848][emoji2827]
wazungu pia wanaroga, hata ww unaweza kwenda kupiga nyanga ulaya.
 
Alichoongea ni sahihi kabisa. Ila naona mleta mada ni kama umemuongezea maneno.

Watu wengi tumeaminishwa wachezaji mpira peke yake ndio wenye nafasi ya kwenda ulaya kukamilisha ndoto zao kwa sababu ya miundombinu na maslahi kwa wachezaji hivyo tunawawekea pressure kubwa na kuwavisha mizigo mizito tunasahau pia kipaji pekee hakitoshi kukufanya uende kucheza ulaya.

Sasa kupitia kauli hiyo ya Ajib Ibrahim anatukumbusha kila mtu katika kada yake anayo nafasi kwenda ulaya aidha mfanyakazi, mwanafunzi, mfanyabiashara, mkulima n.k
 
MWANDISHI: Huko Mtaani wanasema Ajibu ameisha sbb umeshacheza Yanga, SIMBA & Azam! Wewe unawaambiaje?

AJIBU: Sijawahi kuwaskia! Wewe ndo unasema!

AJIBU: Mm sikuzaliwa SIMBA, Yanga wala Azam, nimezaliwa Mtaani! Popote utakaponiona NAPITA NJIA
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom