Tena wanatoa mfano wa Bigirimana kuchezea NewcastleJibu sahihi kwa watanzania maana wamezidi kupangia watu maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]MWANDISHI: Huko Mtaani wanasema Ajibu ameisha sbb umeshacheza Yanga, SIMBA & Azam! Wewe unawaambiaje?
AJIBU: Sijawahi kuwaskia! Wewe ndo unasema!
AJIBU: Mm sikuzaliwa SIMBA, Yanga wala Azam, nimezaliwa Mtaani! Popote utakaponiona NAPITA NJIA