kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani. View attachment 2584701
Hakuna mwanalunyansi mwenye mwiko nyumaKwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani. View attachment 2584701
Umeona nini mukubwa? Wengine hatujabahatika kuiona mechi!!Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani. View attachment 2584701
Sio kwa mpira na magoli yale. Kuepuka aibu zisizo na lazima tusipeleke timu uwanjaniUmeona nini mukubwa? Wengine hatujabahatika kuiona mechi!!
Umeshavimbiwa uji na maboga.Umeanza kuona mauzauza.Kwa hiki nilichokiona leo mimi kama mwanalunyasi nashauri tusipeleke timu uwanjani ni bora wapewe ushindi wa mezani. View attachment 2584701
MtanikumbukaUle uchizi wako bado hujapona?
Mtanikumbuka wanalunyasi wenzanguKinyesi fc,kajiandikia kinyesi chake hapa hana habari kabisa.
Lini umekuwa SIMBAMimi kama mwanasimba naomba tutumie Ile mbinu ya timu nzima kuwa na mafua
Ili tuikimbie mechi ya tarehe 16......