ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Watu wanalinganisha ubora wa haya matamasha, ambalo ndo jambo baya zaidi.
Haya matamasha ni tofauti kabisa.
Sisi Yanga tuna utamaduni wetu tofauti na ule wa mtani.
Watu wa Yanga ni watu wa burudani, wana pesa na wanajitoa Kwa team Yao tofauti na upande wa pili
Simba hawana furaha team Yao haina ubingwa tamasha lao laZima lipoe likose vibe, Sasa lichukue muda mrefu wanafurahia kucheza shirikisho au kufungwa goli 5.
Mo aliongea huku Mwenyekiti wa Simba Mangungu hakuonekana lakini mbumbumbu wamechukulia kawaida
Yangani team iliyoleta uhuru wa nchi, viongozi wa serikali wanaipa heshima,
Tazama mgeni rasmi wa mtani alikuwa waziri wa mambo ya ndani ila tamasha la Yanga mgeni rasmi ni Makamu wa Rais.
Rais alipiga live kwenye tamasha la Yanga lakini Kwa Simba ilikuwa ili mradi nao ni Watanganyika awape moyo.
Viongozi waandamizi laZima wawe wengi kwenye shughuli ya Yanga, kama mama Fatma Karume lakini Simba atakuja mwaijaku.
Kuzingatia itifaki yote hii laZima ichukue muda.
Wanaolalamika muda ni Simba hawajui kuwa Yanga ni kubwa kuliko Simba.
Yaani tuache Makamu na Rais kutoa neno kwenye sherehe yetu tuwahi kufungwa ili tuwe kama mbumbumbu.
Sisi Yanga tuliridhika kabisa na tulikuwa tayari hata kukesha.
Kiwanjani nilikuwepo hakuna mtu aliyelalamika.
Tunaomba tamasha la mwakani Eng Hersi Said atuletee mkesha, tukeshe tunajipongeza