Kibu D yupi au una maanisha huyu kiberenge? Uliona jinsi SBS walivyomfunika? Chiba hakuamini mtoto pendwa anaruka ruka tu uwanjani kama popcornKabisa.
Ila Kibu D mkandaji atakuwepo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibu D yupi au una maanisha huyu kiberenge? Uliona jinsi SBS walivyomfunika? Chiba hakuamini mtoto pendwa anaruka ruka tu uwanjani kama popcornKabisa.
Ila Kibu D mkandaji atakuwepo!!
Kaangalie mielekamechi za rushwa, rushwa ni taka taka kuangalia hizi mechi
Wengine hatutaki mikelele ya kina Sheikh Yahya Wa mitandaoni Juu ya nani atashinda kwenye Derby ya Kariakoo.
Tusubiri siku ifike tuone nani atakuwa mshindi.
Sawa kabisa!!Tafadhali usijibu hadi jumapili saa tatu usiku.