Tusipochukua uamuzi huu sasa tutaangamia sana!

Tusipochukua uamuzi huu sasa tutaangamia sana!

Lord denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
15,819
Reaction score
33,255
Nawasalimu kwa Jina la JMT

Siku si nyingi niliandika uzi kuhusu yanayopaswa kufanyika ili kuokoa mazingira yetu na kuiepusha nchi yetu na majanga ya chakula na Umeme .

Uzi huu hapa chini👇

Leo hii tunazungumzia Mgao wa Umeme unaotokana na matatizo niliyoyaelezea kwenye huu uzi!

Napenda kumshauri tena Rais Samia, arejee huu uzi niliouandika maana Kama hatua hazijachukuliwa haraka hali ya nchi hii itakuwa mbaya zaidi. Bwawa la Nyerere halitakuwa na Maji, Mabwawa yote tunayotumia hayatakuwa na Maji na mwisho kutakuwa na uhaba wa chakula usio kifani


Ni wakati wa kuchukua hatua! Jamii za wafugaji na wakulima zisipodhibitiwa nchi itaangamia Kweli!
 
Back
Top Bottom