Tusipojitambua sisi sote tutanyakuliwa. Tunashabikia kiama na anguko letu

Tusipojitambua sisi sote tutanyakuliwa. Tunashabikia kiama na anguko letu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kuna makundi yamejigawa.
1. Urusi
2. China
3. Amerika

Miafrika inadhani adui wa Marekani ni rafiki yao. Na hivyo hivyo kwa Mchina na Mrusi. Tulimuunga mkono Russia kuivamia Ukraine. Inakuja Marekani na Green land

Inakuja China na Taiwan. Wakimaliza watahitaji rasilimali vitu na hapo ndo wataingia nchi zetu. Hizi za kiafrika hawahitaji kuleta majeshi yao. Wanatumia mirais yetu hii Kichwa Maji ambayo haina akili. Mikahaba, Mizinzi, Mijizi na Mijambazi kuua wananchi na kuwapatia wao mali zetu.

Wakati Taiwani, Ukraine na Greenland wakipambana dhidi ya Majizi sisi huku tutapambana dhidi yetu wenyewe kuwapatia majizi mali zetu kirahisi.
Screenshot_2026-02-03-17-13-56-304_com.whatsapp~2.jpg
 
Tanzania tayari samuya kaua watu ili asalie madarakani.
 
Wabongo tuna double standards, unafki mtupu Tu, kujadiliana na watz ni kupoteza muda...
 
Back
Top Bottom