Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Nachozungumzia ni ushabiki tunaokuwa nao bila kujipangaHao ni wakubwa wakiamua huwezi Pinga jambo mkuu
Naunga mkia hoja.Waje tu, kikubwa hawawezi kuathiri starehe yangu pendwa ya kunyetuka.
Wala hatutetereki.Naunga mkia hoja.
Labda wapige marufuku vipande vya soap na mawese ya upako huo utakuwa ni uchokozi heavy.Wala hatutetereki.
Hahaha 😂, na hawataweza kufanya hivyo.Labda wapige marufuku vipande vya soap na mawese ya upako huo utakuwa ni uchokozi heavy.
Wajichanganye tu ngumi zitalika za maana.Hahaha, na hawataweza kufanya hivyo.
Naunga mkono hoja.Wajichanganye tu ngumi zitalika za maana.