Tusipokemea upuuzi unaofanywa na watoa huduma ya kwanza ndani ya uwanja, ipo siku tutapoteza mchezaji huku tukichekelea.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Watu wa msalaba mwekundu( huduma ya kwanza) kimekua ni kichaka Cha kupotezea muda haswa pale timu inapokua inaongoza.

Nijuavyo Mimi na Kama Kuna mtu anajua zaidi atanisahihisha.
Huduma ya kwanza tafsri yake "ni huduma anayopewa mgonjwa kabla ya kupelekwa hospitali"

Lakini imekua tofauti katika viwanja vya mpira haswa katika ligi yetu hii inayosemekana kuwa ni ya Tano kwa ubora Africa.

Hii siyo Mara ya kwanza kuona imekua Kama mchezo Sasa wa kupotezea muda niliona katika mchezo wa IHEFU FC na YANGA watoa huduma wanambeba mchezaji wanatembea mwendo wa kinyonga ama bibi harusi na babu harusi

Nina uhakika kwa asilimia Mia watu wanaoingia uwanjani na machela hawana hiyo taaluma Bali ni kikundi Cha wahuni kinachopewa maelekezo maalum na watoa huduma ya kwanza wenye taaluma Yao hawezi kufanya upuuzi Kama huo.

Ligi inapoteza mvuto kwa upuuzi Kama huu tunaoiga kwa waarabu.

Nakumbuka mchezo wa Mbeya City ball boys walipoteza muda kwa kutorusha mipira TFF iliwaadhibu Mbeya City kwa huo upuuzi usiokuwa na mantiki na afya katika mpira wetu huu.

NALIA NGWENA nachukua fursa hii kuiomba Bodi ya ligi na TFF iliangalie hili suala kwa jicho la tatu ipo siku ataanguka mchezaji serious watoa huduma wataleta mzaha wanaouleta na kupelekea kifo Cha mchezaji.

KATAA WAHUNI KWENYE LIGI YETU.
 
Hapo umezungumzia FOOTBALL CLUB and SPORTS CLUB,mmoja ana utashi mpana mwingine mfinyu.
 
we mtoto wa kahaba ivi unafikiri kuna tusi geni kwangu?
Kubali mawazo kinzani jibu hoja kwa hoja sio mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe unaanza kumtukana BADILIKA MREMBO.
Siwezi kujibu hoja ya kipumnavu Leta hiyo hoja yako tuione.

Mimi nimejikita katika kuwasilisha hoja unaleta Mambo ya Simba na Yanga
 
Sio kwamba hauwezi kujibu hoja ya kipumbavu ni kwamba hauwezi kutetea hoja yako ikiwa mtu anamtazamo tofauti na mtazamo wako ndio maana wote wanaotoa hoja tofauti na hoja yako unawatukana.
 
Kawaida hiyo kwenye mpira hata ulaya ipo ni jukumu la refa kuingilia kati ila kama na yy ni kilaza basi ndio imeisha.
Hilo nakubaliana na wewe japo mleta hoja ana hoja ya Msingi Sana. Tukio kama Hilo limetokea tena Mechi ya mwisho ya Kitayose (Tabora Utd) dhidi ya Dodoma Jiji. Hii Sasa ilisababishwa na madaktari wa Tabora Utd. Mchezaji kalalamika kaumia wanatafuta sehemu itakayokuwa mbali kumfikia. Huu ni upuuzi wa Waamuzi wenyewe. Wakifungiwa wanapatikana watetezi wanarudishwa na ujinga wao. Unaona kabisa waliorudi wamerudi na ujinga ule ule walioondoka nao.
 
Back
Top Bottom