Tusipokemea upuuzi unaofanywa na watoa huduma ya kwanza ndani ya uwanja, ipo siku tutapoteza mchezaji huku tukichekelea.

Rafiki yangu NALIA NGWENA usianze kujihami mtashinda leo bwana .

Oyaa nakumbuka ulisema huko vizuri kwenye ngumi vipi nakupataje maana now nina hela nataka niwe fit maana kuna watoto wa mtaa wameanza kujipanga kuniibia bro
 
Kweli kabisa Mkuu.
 
Matusi si sehemu ya soka lakini kuna watu wanastahili kutukanwa. Hoja uliyoleta ni ya maana Sana lakini kuna Misukule iliyokunywa uji wa mgonjwa wao ni Simba na Yanga Hadi kwenye ndoto.
SHABIKI LA SIMBA HILO NA NDIYO MAANA UKIYAPA MATUSI NDIYO YANAFURAHI.
 
Kabisa Mkuu. Ligi yetu hivi Sasa inafuatiliwa na mataifa ya jirani na mitandaoni. Sasa huu upuuzi wakiuona twaonekanaje?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kitu TZ inafanya kwa ufasaha labda ufisadi tu.
 
Kweli kabisa.
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama wale wahuni waliovaa vile vizibao vyekundu kwenye ile mechi ya Ihefu dhidi ya Yanga walikuwa ni watoa huduma ya kwanza.

Na kama ulivyosema. Iwapo wahuni kama wale ndiyo watapewa mchongo wa kuhudumia wachezaji uwanjani, badala ya wataalamu! basi kuna siku yatakuja kutokea maafa uwanjani.


Binafsi nilihuzunishwa sana na kile kilichokuwa kinaendelea. Mchezaji anatolewa huku akiwa amekaa zake comfortable kwenye machela! Halafu waliombeba pasipo hata chembe ya aibu, wanatembea kwa kunyata!

Na mwamuzi wa mchezo naye eti anaongeza dakika 6 pekee za kumaliza mchezo!!
 
WAHUNI TU WALE MKUU.
 
TFF WAMEMPIGA FAINI KOCHA WA IHEFU KWA KUSHAWISHI MAOFISA WANAOTOA HUDUMA YA KWANZA KUCHELEWA KUINGIA UWANJANI NA KUTOKA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…