Tusipokuwa makini kinachoendelea Mashariki ya DR Congo kinaweza kikatokea Tanzania

mavya

Member
Joined
Dec 24, 2021
Posts
31
Reaction score
58
Habari wana Jamvi? Naomba kuleta kwenu mada hii tuijadili kwa kina na weledi. Nafikiri tunaofatilia mgogoro wa Mashariki ya congo tunalikujifunza na ikiwezekana kuliangalia kwa jicho tatau.

1. Mgogoro wa DRC unachochewa na Watusi walioenda Mashariki ya Congo kama wakimbizi lakini leo wanadai Mashariki ya Congo ni yao.

Tanzania tulipokea wakimbizi kutoka Rwanda miaka ya 1958 na 59 na wengine tuliwapokea miaka ya 1994 baada ya genocide wengi wao tuliowapokea ni hawa hawa watusi wanaoivuruga DRC je sisi miaka 50 ijayo tutakuwa salama? Maana watu hawa wamezagaa kila kona ya Nchi hii na wengine wameingia kwenye mifumo ya uchumi kwa mgongo wa uwekezaji na wana pesa za kuhonga kila wanakotaka. Je watu hawa wana agenda gani?

2. Inasemekana watu wakati wanapewa uraia wengine waliukataa uraia wa tz lakini baada ya kurudi kwao wakaona maisha ni magumj wanarudi kinyume nyume wakiwa na mitaji ya kufanya biashara je mitaji hii wanapewa na akina nani? Na lengo lao ni lipi? Na kwa nini waliukataa uraia wa TZ na leo wanarudi kivingine?

3. Inasemekena hawa watu wana coordination ndefu sana kila kukicha wanaitana kuja huku kwetu baada ya kutimuliwa mashariki ya DRC wamekimbilia TZ. Je, Idara ya uhamiaji inawafatilia inavyotakiwa?
 
Drc nao manyumbu tu wanashindwa vipi kumchapa kipigo Cha mbwa Koko Rwanda na akome kabisa kuingilia mambo ya ndani ya DRc
 
Hii mada inafikirisha. Hawa watu wapo tena wameingia hata kwenye taasi nyeti za nchi wamo. Nakumbuka miaka michache iliyopita alikuwawepo mtutsi mmoja jeshini alifikia cheo cha kanali halafu akaja kutorokea kwao. Hatuko salama sana hawa wajinga wapo sana.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwani kagame atakuwepo mpaka baada ya miaka 50 halafu ulichokiandika ni kweli kinaweza kutokea ila haina maana ya kuwatenga jirani zetu wanyarwanda wakati tukiwakumbatia watoka mbali,wachina & wahindi plus wazanzibar
 
Ameandika upupu ni binadamu au sio binadamu. Laana ya ubaguzi inakusumbua.Rejea Katiba Tanzania ni nchi ya kijamaa watu wote ni sawa
 
Kariakoo wamejaa kibao wanatembeza kahawa hatakuongea kiswahili wanshindwa
 
Mkuu kwani kagame atakuwepo mpaka baada ya miaka 50 halafu ulichokiandika ni kweli kinaweza kutokea ila haina maana ya kuwatenga jirani zetu wanyarwanda wakati tukiwakumbatia watoka mbali,wachina & wahindi plus wazanzibar
Kwani Wazanzibar sio watanzania??
Hakuna nchi inaitwa Tanzania bila uwepo wa Zanzibar aisee,
 
Hiyo ni failed State usifananishe na TZ
Uh - Oh!

Hii ya kwetu unaiona inakwenda wapi?

Hebu tulia kidogo uelewe alichoandika huyo mkuu 'mavya', kabla ya kukurupuka na kuandika kama unatoka ndotoni.

Watu wanapewa uraia, wanaukataa, na kwenda kwao. Baadae wanarudi kwa mipango yao wenyewe na wanaendeleza kazi zao watakavyo!
Hadi hapo " huoni 'failed state"; hiyo 'failed state' unataka iweje?
 
Yaani kitendo cha kufahamu tu yote hayo ni ishara kwamba sisi sio failed state.
 
Mkuu 'stroke', kwa heshima na taadhima niliyotokea kukufahamu, naomba sana tusifanye utani na jambo kama hili
We are in a very delicate and precarious situation as we stand now.

Hatujawahi kufaraganyika kama tulivyo sasa hivi.
 
Tanzania tulipokea wakimbizi kutoka Rwanda miaka ya 1958 na 59 na wengine tuliwapokea miaka ya 1994 baada ya genocide wengi wao tuliowapokea ni hawa hawa watusi wanaoivuruga DRC je sisi miaka 50 ijayo tutakuwa salama? Maana watu hawa wamezagaa kila kona ya Nchi hii na wengine wameingia kwenye mifumo ya uchumi kwa mgongo wa uwekezaji na wana pesa za kuhonga kila wanakotaka. Je watu hawa wana agenda gani?
RIP Rev. Christopher Mtikila
 
Back
Top Bottom