Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

Tusipoondoa fikra za Ukada na Uchama kesho ya Tanzania itakuwa ngumu

Hakuna mtu mwenye hati miliki ya taifa hili,bali taifa hili nila Watanzania wote.Regard Imani,itikadi ya vyama,kipato au race.

Ni hatari kwa taifa lolote duniani kuwepo kwa kundi la watu,ambao hujipa umiliki wa taifa. kwa wao kujiona ndio alpha na omega katika nchi,yaani wao ndo ujiweka nafasi ya kwanza katika kila jambo kwamba wao ndio taifa na taifa ndio wao.

Tunapaswa kumpata kiongozi kama emperor Meiji wa Japan,Aliye wafutilia mbali wahafidhina wa kisamurai na kuifanya Japan kuwa taifa ambalo linaonekana leo hii,kwa sera zake za reforms au restorations.

Tanzania yetu kwa namna jinsi ilivyo sioni hata hiyo Kazi ya hao waitwao "state" maana ni kundi ambalo linajali maslahi yake binafsi na sio maslahi ya umma.
Ukiona watu wanahangaika ingiza watoto wao kwenye vyama nilazima ujuwe hali sio hali. Asante
 
Back
Top Bottom