Tusipostaafu 'maneno' - tukitangaza kustaafu pia 'maneno'

Tusipostaafu 'maneno' - tukitangaza kustaafu pia 'maneno'

Right Marker

Senior Member
Joined
Apr 30, 2018
Posts
194
Reaction score
625
Tukifanya kazi bila ukomo vijana wanauliza; 'kwanini hatustaafu ilhali kuna kundi la vijana hawana ajira'

Tukiamua kustaafu vijana hao hao wanauliza; 'kwanini tumestaafu au tumegombana na mabosi zetu'.

NB: Basi niwaambie kitu wazee wenzangu; binadamu hawaachi kusema, hasa wale ambao wanatamani kujipata bila kujitafuta.

Right Marker
Dar es salaam
 
Tatizo wanaostaafu siyo wale ambao wanategemewa, na mazingira ya kustaafu kwao ni kama yanatia mashaka, wanaotegemewa kustaafu ndio hao ambao hawataki
 
Back
Top Bottom