Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Quote:
"On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal."
Tuache upotoshaji wa Simba na Yanga hasa kwa Pro West na Pro East kwamba Uturuki na UN wamezitoa meli hizo kibabe. Meli zilizoruhusiwa jana kwenye Black Sea zilikuwa ndani ya mipaka ya Uturuki ambapo Russia hawezi shambulia.
Uturuki hawezi kufanya escort ya kijeshi kwa bidhaa ndani ya Ukraine ilhali Ukraine wapo vitani.
Ndiyo maana hiyo agreement ilikuwa lazima ihusishe Russia kuifanya Corridor upande wa Ukraine kuwa salama. Tujiulize bandari ya Odessa ikishushiwa makombora Turkey au UN watafanya nini ilhali Ukraine ipo vitani? Vipi routes za kwenda Odessa port kutoka ndani ya ukraine?
Au tujiulize kwanini Biden aliwaka jana baada ya Urusi kujiondoa kwenye agreement? Si atume 'US Navy' pale Odessa ku 'escort'. Urusi ameshasema kuwa Ukraine anapanga mashambulizi katika hiyo Corridor, ikiwemo kuingiza silaha. Tunategemea nini hapo bandarini?