Mtahangaika sana kwa kupiga ramli na kusahau kuwa kufa ameumbiwa mwanadamuTeam msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Hawa ndio walifanya sisi wana CCM tusivae sare zetu mtaani tukionekana wahuni kama wao. Sasa wamerudi tena. Sare yangu napigia deki.Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Sasa anaepotosha ni nani? Kisukari lazima kipande mwaka huuNaona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Team msoga mko kwenye mahaba niueMtahangaika sana kwa kupiga ramli na kusahau kuwa kufa ameumbiwa mwanadamu
Uzuri makali ya bei huna pa kukwepea unalia bila sauti.Umekata rufaaa au bado?
Wote wapo ndani ya nyumba hakuna namnaNaona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Doubt makes one asks questions and to find new answers.Si ww na hata wengine hakuna anaejua ukweli. Sana utaishia kuhis na theory za uwongo na kweli.
Sitetei ila marehem aachwe kama alivyo apumzikea
Answers thats will lead to no where and end up being rummors.Doubt makes one asks questions and to find new answers.
Haya makali ya bei ni kwa wapinzani hasa chadema maana wana ccm wapo dunia nyingine.Uzuri makali ya bei huna pa kukwepea unalia bila sauti.
Umesahau kuwa kila masika na mbu wake?Team msoga mko kwenye mahaba niue
Hili kundi ni la kinafiki sana, waoneni kwanza.Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.
Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.
Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?
Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Kweli kabisa MamaSukuma gang mmetupiwa virago
Na sisi tunakushangaa ww kichwa maandaziJiwe alikuwa kiongozi wa ovyo, angeleta katiba mpya , ila nae akaifukia shimoni, Nawashangaa mnao msifia jiwe.
Wacha watesekeKweli kabisa Mama
Basi ikawa Asubuhi ikawa jioni jiwe akaenda chini, wenyewe wakachukua chama Chao na nchi inasonga, haya Sasa vichwa vitumbua naona mnabwabwaja mdomo tu. Ila ndo Ivyo ccm inawenyeweNa sisi tunakushangaa ww kichwa maandazi