Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Mtahangaika sana kwa kupiga ramli na kusahau kuwa kufa ameumbiwa mwanadamu
 
Sukuma gang sasa zamu yenu kulimia meno. Kwani akina Makonda, Sabaya na huyo marehemu walikuwa hawapori mali za watu na kutapanya kodi za walalahoi.

Nae alikuwa jizi tu kama mijizi mingine..
 
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Hawa ndio walifanya sisi wana CCM tusivae sare zetu mtaani tukionekana wahuni kama wao. Sasa wamerudi tena. Sare yangu napigia deki.
 
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.
View attachment 2170988
Sasa anaepotosha ni nani? Kisukari lazima kipande mwaka huu
 
Wote wapo ndani ya nyumba hakuna namna
 
Hili kundi ni la kinafiki sana, waoneni kwanza.
 
Sema 2015 tulipata rais wa hovyo sana. Tunashukuru aliomba tumuombee tukaomba akapigwa hadi futi 6 chini. Huwezi kua na kiongozi mtesi, anaye sapoti wengine wapitie mateso ata ikiwa kifo ili yeye abaki na sifa zake.
 
Wenye akili tu, jifunge kupitia comments na oima akili za watu kujua wapo radhi kwa kitu gani ili maisha yasonge.

Sawa na maandiko ...
 
Na sisi tunakushangaa ww kichwa maandazi
Basi ikawa Asubuhi ikawa jioni jiwe akaenda chini, wenyewe wakachukua chama Chao na nchi inasonga, haya Sasa vichwa vitumbua naona mnabwabwaja mdomo tu. Ila ndo Ivyo ccm inawenyewe
 
Back
Top Bottom