Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Haya majamaa huwaga yakianza kuparurana mimi hukaa kimyaaaaaa , maana nilishasema mengi hayajui yanaamini nini , yanageuzwa tu, twende huku , haya twende kule sawa . kimsingi acha wafu wazikane
 

Msoga line ni wezi wenye soni, lakini sukuma gang ni wezi wenye kiburi cha madaraka, watekaji na mabingwa wa siasa za kihayawani.

Hao Msoga line walikuwa ni wezi waliokubali challenge, lakini sukuma gang waliendesha siasa za kikatili na hawakukubali kukosolewa.

Sisi ni umma na uhayawani wote wa sukuma gang chini ya yule kiongozi muovu tuliuona.
 
Mimi najua kabisa bwa mdogo Tindo unakubali kabisa kuwa JPM alijitoa kwa ajili ya taifa letu. Japokuwa malalamiko yako ni juu ya mapungufu yake ambayo sio kama wewe unavyoelezea.
 
Tungeingia kwenye kundi la Yemen, Somalia, Afghanistan na nchi zilizofeli kama hizo
 
Sabaya na Makonda mifano, walikuwa vijana pendwa wa marehemu, alifumbia macho uovu wao wote, walifanya ujambazi kufuru!

Leo hii hii mihuni iliyobaki inataka kutuaminisha eti January ni mbaya kuliko Sabaya/Makonda! Kwanza bila Kinana huyo mwenzao asingepata huo urais, hii mijamaa hata shukrani haina! Kazi iendelee mpaka 2030!!

Na Kinana ameshatangaza huko anataka HAKI irudi, hawa wahuni wa Magu wakisikia neno HAKI Nya zinawagonga
 
Utajipa pressure bure, ufisadi gani
 
Kiongozi vs Lipaka😁😁😁
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
nashukuru hawa jamaa kurudi yaani sasa chama kinapendeza sana,kilichobaki ni kujenga nchi yetu ndugu zangu
 
Picha ya hao jamaa watatu waliofaa nguo za kijani nimeiona roho kama imeshituka!
kunywa maji ya uvuguvugu mkuu kisha upumzike kivulini upigwe na upepo kidogo
 
Mbunge anaondoka CDM kwa hila anakuja CCM afu anapita bila kupingwa kugombea jimbo Ubunge hilo hilo yaani hakuna kura za maoni ndani ya chama - ukiuliza eti Chama kimeamua huo ni mkakati - uongozi gani huo ?
 
Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Wahuni Hawa wali jaribu kila njia mpaka kumlisha sumu Mangulla lakini walishindwa; sasa ameondoka amewaachia wenyewe walogane!
 
ndio maana dhiki na mateso na ukata wa maisha unawapata watanzani kwa sababu ya midomo yao ubishi mwingi na ujuaji mwingi. mnaambiwa hao makufuli aliwatoa kwa uhuni wao nyinyi mnabiisha
 

Recycling wale wale!!!!
 
Alikua na vision ya hovyo kwa familia yako bwashee mliofoji vyeti!
 
Team msoga wakiamka unalo... maana kila kinachoendelea kinaniridhisha JPM alirestishwa. Sio bahati mbaya hii. Namshukuru Mangula kunawa mikono.
Kwa hiyo kama alirestishwa mama yupo ndani ya mpango huo! Au mimi ndio sielewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…