Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

Sabaya na Makonda mifano, walikuwa vijana pendwa wa marehemu, alifumbia macho uovu wao wote, walifanya ujambazi kufuru!

Leo hii hii mihuni iliyobaki inataka kutuaminisha eti January ni mbaya kuliko Sabaya/Makonda! Kwanza bila Kinana huyo mwenzao asingepata huo urais, hii mijamaa hata shukrani haina! Kazi iendelee mpaka 2030!!

Na Kinana ameshatangaza huko anataka HAKI irudi, hawa wahuni wa Magu wakisikia neno HAKI Nya zinawagonga
Upo sahihi kabisa hawa sukuma gang walikuwa wabaya kama nyoka.

Afadhali Msoga gang iliwadhamini wapinzani angalau kwa 40%
 
Upo sahihi kabisa hawa sukuma gang walikuwa wabaya kama nyoka.

Afadhali Msoga gang iliwadhamini wapinzani angalau kwa 40%
Msoga Gang wanajua politics, na wanafanya politics! Mtu kama Kinana kasomea masters ya politics na mikakati Havard (Chuo namba moja US kama siyo duniani kabisa), utamwambia nini kuhusu uongozi wa kisiasa! JK kapitia jeshi na kwa kipindi kifupi tu alipanda vyeo hadi kuwa Kanali! Hawa Sukuma Gang ni zero kwenye siasa kwenda mbele, ni vile tu jamaa yao aliokota dodo ile 2015 baada ya maugomvi ya akina Lowassa! Ila ujinga wa Sukuma Gang wachache haimaanishi wote wapo hivyo, kuna wengine wapo smart sana tu (eg Angelina Mabula, Biteko na wengineo wengi, waliharibiwa na hizi takataka akina Makonda and company
 
Wasipokuja hapa CHAWA wa propaganda za kikejeli kuwa wewe ni "Sukuma gang", naomba nisisikike tena hapa JF.

Ujinga, maradhi, ufisadi, magonjwa na umaskini ni maadui wa maendeleo TZ, lakini CHAWA ni zaidi ya shetani kiuadui.
Okaàaay!Hivi magonjwa na maradhi hutofautiana mkuu?
 
Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani.

Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma kama mlivyofanya wakati ule kupitia Epa, Escrow, Kagoda na ufisadi mwingi bila aibu.

Mlitaka hayati Magufuli awakubalie uhuni wenu kisa tu mlifanya kampeni basi mfanye ufisadi mnavyotaka?

Sasa hivi kila mtanzania anawafamu vizuri na ndio maana mnapanga safu yenu ili mfanye uhuni wenu vizuri.


Nadhani wakati wa Magufuli wahuni ndio walikuwepo. Inakuaje mtu anapewa ukatibu mkuu wa chama alitokea CUF?
 
Hawa ndio walifanya sisi wana CCM tusivae sare zetu mtaani tukionekana wahuni kama wao. Sasa wamerudi tena. Sare yangu napigia deki.

Hata kipindi Cha Magufuri Nani aliipenda CCM ? Ni unafiki na bendera fuata upepo tu. Watu walijikomba ili wasidhuriwe au kupewa vyeo.

Na Magufuri alilijua hili ndio maana akaharibu chaguzi zote mbili za 2019 na 2020.
 
Nafikiri Magufuli angekuwa kweli anakerwa na uhuni wa baadhi ya wana CCM, angeliruhusu mabadiliko ya katiba ili "mifumo" bora isije kuwarudisha tena waibia taifa!

Lkn yeye alikuwa anajitengenezea uungu mtu, ili aonekane yeye tu ndie anaweza! Ndio maana kwakwe wabaya na wazuri wote alikuwa akuwashikisha adabu! Alikuwa mwovu tu
Kinana "SIO UTUKUFU ULIOTUKUKA,NI UONGOZI ULIOTUKUKA"
Akimuahidi Mkiti na wajumbe.means Mkiti mwenda zake alikuwa na milki ya UTUKUFU.
 
Wahuni Hawa wali jaribu kila njia mpaka kumlisha sumu Mangulla lakini walishindwa; sasa ameondoka amewaachia wenyewe walogane!

Bora hao kuliko mfadhili wa watu wasiojulikana. Yani miili inaokotwa kwenye viroba.
 
ndio maana dhiki na mateso na ukata wa maisha unawapata watanzani kwa sababu ya midomo yao ubishi mwingi na ujuaji mwingi. mnaambiwa hao makufuli aliwatoa kwa uhuni wao nyinyi mnabiisha

Magufuli na kundi lake la watu wasiojulikana ndio walikuwa wahuni kupindukia.

Halafu kuhusu suala la vitu kupanda mbona lilikuwepo kipindi Cha Magufuli. Bora ameondoka alileta Mambo ya Rwanda Tanzania
 
Back
Top Bottom