CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
UIPOTOSHE UMMA WA WATANZANIA
WATANZANIA SI WAJINGA KIASI HICHO.
ACHA KUMSEMEA MTU.
WATANZANIA SI WAJINGA KIASI HICHO.
ACHA KUMSEMEA MTU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ataishia kuwapiga makofi tu,mara huyu ubwabwa mara huyu risasi kiunoni mara wengine washaenda matibabu huo upuuzi mjadala wa nini?Hana huo ujasiri labda mumlete kwa nguvu. Lakini hata mkimleta kwa nguvu ataongea nini?
TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO.
Wasalaam wana JF.
Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa haogopi mdahalo wa aina yoyote na kwa namna yoyote ile, wanaojenga hoja hii ni wapotoshaji na wapuuzwe kabisa, najenga hoja hii kumtetea Rais kutokana na utendaji wake kuwa wazi na usio na shaka kwa Watanzania wote...
Tena nyie wana ccm muwe waangalifu manake siku mkimshauri afanye mdahalo ndio mtajua nini maana ya kutumbiliwa.TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO.
Wasalaam wana JF.
Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa haogopi mdahalo wa aina yoyote na kwa namna yoyote ile, wanaojenga hoja hii ni wapotoshaji na wapuuzwe kabisa, najenga hoja hii kumtetea Rais kutokana na utendaji wake kuwa wazi na usio na shaka kwa Watanzania wote....
AJE KWENYE MDAHALO MUBASHARA KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA NDANI NA VYA KIMATAIFA. TUONE UWEZO WAKE.TUSIPOTOSHE UMMA RAIS MAGUFULI YUPO TAYARI KWA MDAHALO, SI VINGINEVYO.
Wasalaam wana JF.
Natumia fursa hii kutoa ufafanuzi na maelezo yanayojitosheleza dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mgombea wa kiti cha urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa haogopi mdahalo wa aina yoyote na kwa namna yoyote ile, wanaojenga hoja hii ni wapotoshaji na wapuuzwe kabisa, najenga hoja hii kumtetea Rais kutokana na utendaji wake kuwa wazi na usio na shaka kwa Watanzania wote.
Dkt. Magufuli ndiye Mwenyekiti wa sasa wa chama dola na amiri jeshi mkuu wa nchi, Chini ya Rais Magufuli serikali ya awamu ya tano imefanya mapinduzi makubwa ya kiuchumi, kisiasa, kimaendeleo na kitekinolojia kwa Watanzania wanyonge ambao kwa muda mrefu ombi lao lilikuwa kumpata kiongozi mwenye maono mithili ya Magufuli, Sasa amepatikana kiongozi mwenye “Tumaini la Kweli” nongwa ya nini?
Aidha nimesikia ombi la Ndugu Tundu Lissu la kuomba uwepo wa mdahalo kati yake na Dkt. Magufuli, ni Jambo jema katika ustawi wa nchi na wala Lissu hajakosea, lakini kinachonipa shida ni dhana inayojengwa kwa sasa na “mtandao wa upinzani”, na wapambe wao kuwa mgombea wa CCM anaogopa mdahalo ni uongo na fitina za wapinzani wa Magufuli, Dkt. Magufuli anao uwezo wa kujibu hoja kwa hoja, kujenga hoja na kupangua kila hoja inayoweza kujitokeza mbele yake, ni kiongozi anayejiamini tofauti na Bwana Lissu anavyofikri.
Kifikra, Upeo, Medani za Ungozi kifalsafa uwezi kuwa linganisha Magufuli na Lissu, Lissu uongozwa na hoja za mihemko na vitisho, wakati Magufuli ujenga hoja zenye utamaduni wa kutatua matatizo ya watu, kwa ufupi Magufuli ana maono ya utatuzi wa matatizo ya watu na si mihemko ya kisiasa, Je kwa dhana hizi nani mwenye kuogopa mdahalo? Bila shaka jibu lipo wazi.
Uwezi kuwa na kiongozi mwenye serikali iliyofikia malengo kwa asilimia kubwa katika uwajibikaji kwa watu alafu ukasema anaogopa mdahalo, mdahalo kuna wadudu gani huko mpaka Magufuli aogope kujitokeza, ninachoweza kusema kwa sasa ni kuwa hofu ya Rais kuogopa mdahalo iondoke vichwani mwa wapinzani badala yake wasubiri wakati ukifika wenye dhamana na mamlaka watajitokeza kutoa maelekezo na ufafanuzi juu ya mdahalo lakini hoja za kuogopa mdahalo zife na zipuuzwe kwa namna yoyote ile.
Nawasilisha.
Deogratias Mutungi.
Mtu pekee ccm aliyekuwa na uwezo wa Mdahalo alikuwa ni Mkapa tu.Sasa si afanye tu mdahalo na wagombea urais wa vyama vingine kama kweli haogopi.
Ni jambo rahisi sana.
Bado unarukaruka tu kama maharage, Mdahalo unahitajika au hauitajiki?Hivi ukifanya vizuri kwenye mdahalo ni kufanya vizuri kwenye maamuzi?
Taasisi ya urais inahitaji mtu sahihi kwenye decision making.
Ukiweza kufanya maamuzi sahihi unayoweza kuyajengea hoja za ushawishi ni bora zaidi.
Ila siwezi kushadadia ujengaji hoja kama uwezo wako wa kufanya maamuzi ni mbovu.
Kwa mtazamo wangu Lissu ni mzuri wa kujenga hoja (elimu yake na uzoefu wake katika tasnia ya sheria unasaidia), ila nina mashaka na uwezo wake wa kufanya maamuzi sahihi. Kwa upande wa Magufuli ameonyesha kuwa mbovu wa kujenga hoja shawishi (backround yake ya kielimu haimbebi) lakini yuko njema sana katika decision making.
Hivyo ni sahihi kwa timu Magufuli kupotezea masuala ya midahalo maana hayatamsaidia kwa wapiga kura. Sio eneo lake la kujidai.
Ninashauri mdahalo uwe kwa lugha ya MALKIAKwenye mdahalo maswali yatajibiwa na sera zitapata kueleweka kwa wapiga kura kwa uwazi zaidi.