Uchaguzi 2020 Tusipotoshe Umma Rais Magufuli yupo tayari kwa mdahalo, si vinginevyo

Hana huo ujasiri labda mumlete kwa nguvu. Lakini hata mkimleta kwa nguvu ataongea nini?
Ataishia kuwapiga makofi tu,mara huyu ubwabwa mara huyu risasi kiunoni mara wengine washaenda matibabu huo upuuzi mjadala wa nini?
 
Wewe ni Mutungi gani au ndio ndugu na yule msajili wa vyama kama ni hivyo basi ngoja tukuache kama ulivyo.
 
 
Tena nyie wana ccm muwe waangalifu manake siku mkimshauri afanye mdahalo ndio mtajua nini maana ya kutumbiliwa.
 
AJE KWENYE MDAHALO MUBASHARA KWENYE VYOMBO VYA HABARI VYA NDANI NA VYA KIMATAIFA. TUONE UWEZO WAKE.
 
Jiwe hawez kujenga hoja au kujibu hoja kwa TL kifupi jiwe kakimbia mdahalo
 
Sasa si afanye tu mdahalo na wagombea urais wa vyama vingine kama kweli haogopi.

Ni jambo rahisi sana.
Mtu pekee ccm aliyekuwa na uwezo wa Mdahalo alikuwa ni Mkapa tu.

Hata JK alikimbia mdahalo akajiandalia mdahalo wake peke yake na wapambe wake, maajabu matupu.

Huyu wa sasa hawezi kufanya Mdahalo hata awekwe na Livingston Lusinde Kibajaji, Kubajaji atamuacha kwa mbali mno.
 
Bado unarukaruka tu kama maharage, Mdahalo unahitajika au hauitajiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…