Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kenya wanautaka Sana Mlima Kilimanjaro kama vipi wapewe offer!Kuna siku atakuja rais auze baadhi ya mikoa kwa nchi jjirani
Siku nikiupata urais kwa katiba hii nauza huo mlimaKenya wanautaka Sana Mlima Kilimanjaro kama vipi wapewe offer!
😂😂😂 Kama utaukuta!Siku nikiupata uraisi kwa katiba hii nauza huo mlima
Ipo ajili ya kumsifia Rais wala haina kazi nyingineKwani ofisi ya AG ina majukumu gani?
Aliye wapa makali,hatimaye alikimbia kwa kuogopa makali ya bisu alilolichonga mwenyewe na tena kulihifadhi ndani ya alangumu.Hatima ye yupo nje ya nyumba na nje ya fensi anapayuka mlio ndani na nje ya nyumba,aliyendani anakisu kikali na amepanga Kuwa Chija mlio ndani na nje ya nyumba yake.🤔.Mtu huyu timieleweje😂Kusema kweli maamuzi wa Rais Magufuli kuvunja mikataba tuliyoingia b yanatugharimu sana kama Taifa. Na yatatugharimu sana kama Taifa.
Hizi kesi tunazoshtakiwa na sasa tunalipa mabilioni zinatuumiza sana na itachukua muda mrefu sana kama Taifa kuanza kuaminiwa.
Mbaya zaidi zinatufedheesha sana mbele ya dunia maana wataalamu wetu wanapekekwa kutetea vitu ambavyo nina uhakika wanajua kabisa kuwa having sawa.
Ifike kipindi tuweke utaratibu wa kuwadhibiti viongozi hasa wa kisiasa katika kufanya maamuzi. Ushauri wa wataalamu ndo uongoze maamuzi yao kisheria na sio wao ndo wawaelekeze wataalamu waamue nini.