Nimeona maelezo ya mama ssh kuwa wanaangalia upya kodi ya mafuta ya kula, mie sioni sababu ya kupunguza kodi na ikiwezekana ipandishwe badala yake tuwekeze kwenye kilimo cha alizeti ufuta na michikichi, tuwasaidie wananchi kuwekeza kwenye mashine za kuchakata mafuta ya kula hasa alizeti.
mtambo mzuri wa kukamua alizeti unauzwa tshs 50m hadi 90m hivyo tuangalie namna gani banks zetu zitawasaidia wananchi kuanzisha viwanda vidogo vya kuchakata alizeti. tuweke mkazo kwenye kilimo cha ufuta alizeti na michikichi.
Mkipunguza kodi ndio mtaua juhudi ambazo zimeshaanza kuzaa matunda. Kuna watu wameuza madaladala dar wako kiteto wanalima alizeti mkipunguza kodi watauza wapi mafuta yao. Kimsingi hakuna aliyekufa njaa kisa kashindwa kununua korie, mkishusha bei mtawanufaisha wachuuzi wachache huku mkikoleza umasikini kwa wananchi walio wengi.
Hiyo kodi mnayofikiria kuipunguza basi hizo fedha ziwekezeni kwenye kuboresha kilimo cha alizeti ikiwemo kutoa mikopo nafuu ya pembejeo ruzuku za kununua mashine za kusindika mafuta ya kula na kuzipatia taasisi za kilimo waweze kutafiti mbegu bora, kufanya utafiti wa magonjwa ya mimea na viwatilifu vya kudhibiti hayo magonjwa.