britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao!
Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule
Tunajua Pamoja na kwamba Bukoba hakuna uwanja wa kimataifa Au uwanja mzuri ila ndege zake zinajaa kuliko sehemu yeyote !
Uwanja ule ufanyiwe haya
OPTION YA KWANZA
1.Hamisha Kashozi Road uwanja usagee zaidi hadi kwenye ile Barabara Au ulazwe mshazari yaan Sambamba na Kashozi Road
Kuwepo Magari yaliyo active ya kuzima moto na huduma nyingine za uokoaji inapotokea dharula, BUKOBA AIRPORT GARI LA ZIMA MOTO NI GERESHA TU NALIJUA HALIFANYI KAZI HATA TAIRI ZAKE ZIMEZAMA NDANI
2. Toeni wahaya hao Ofisn wao ninsyiru Kwa kihaya Tu uwajibikaji wao ni sifuri Kabisa naongea haya nikiwa nawajua wote leta watu wenye weledi ndani ya Ofis hiyo pale Uwanja wa ndege watakao weza Ku respond on time kama kuna dharula na mawasiliano na pilots KIJANA MAJALIWA ANAENDELEA KUZURULA NA POLISI KUNA WANAVYOMZIBA MDOMO ASIONGEE NA BWANA BUCHWA ALIMFUATA BAADA YA KUPATA FAHAMU HOSPITAL KWAMBA ACHUJE YA KUSEMA !! Asiseme seme aliyoona yote !
3. Weka Taa maana wakati wa Ukungu hakuna alama yeyote inayoonesha hata Mipaka ya uwanja inasikitisha Sana sana yan
Nawakumbusha ni Mara ya Pili ndege kupata ajali eneo lile ya kwanza ilikuwa ya Jeshi Miaka ya 1994
OPTION YA PILI
UTUMIKA KWA MUDA HUKU TUKIJENGA OMUKAJUNGUTI
Angalizo Hatutaki Ujinga wa kutupeleka CHATO
Britanicca