Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 712
- 1,748
Mke anae pinga sana hoja zako mara kwa mara au maelekezo unayotoa katika family kama baba kichwa cha family anakuwa mtu wa kukupingapinga bila sababu zozote za msingi hizo ni dalili za kuanza kukudharau na kukukosea heshima na mnapoendelea hivi hivi bila kumkanya atakuja kukukosea heshima hata mbele ya kadamnasi au mbele ya wanao
kuna moja nimeshuhudia uncle wangu mimi akitukanwa na mkewe kua Uncle anatatuliwa linda kisa Uncle alimuuliza mkewe mbona umechukua pesa kwenye akiba bila kinijulisha hii imenisikitisha sana nikasema sitaruhusu mkewangu anizoee namna hii atakula viboko
Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app