Tusiruhusu wake zetu watu zoee sana tuwe wakali kidogo

Mke anae pinga sana hoja zako mara kwa mara au maelekezo unayotoa katika family kama baba kichwa cha family anakuwa mtu wa kukupingapinga bila sababu zozote za msingi hizo ni dalili za kuanza kukudharau na kukukosea heshima na mnapoendelea hivi hivi bila kumkanya atakuja kukukosea heshima hata mbele ya kadamnasi au mbele ya wanao

kuna moja nimeshuhudia uncle wangu mimi akitukanwa na mkewe kua Uncle anatatuliwa linda kisa Uncle alimuuliza mkewe mbona umechukua pesa kwenye akiba bila kinijulisha hii imenisikitisha sana nikasema sitaruhusu mkewangu anizoee namna hii atakula viboko

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Huyo anaishi na mwanamke aliepata hifadhi wakati wa shida amesahau njia ya kurudi alikotoka ila yuko karibu kuikumbuka
 
Kuhold strong frame in a LTR ni ngumu ila it's possible, unahitaji kuwa Alpha enough.
 
Mke anae pinga sana hoja zako mara kwa mara au maelekezo unayotoa katika family kama baba kichwa cha family anakuwa mtu wa kukupingapinga bila sababu zozote za msingi hizo ni dalili za kuanza kukudharau na kukukosea heshima na mnapoendelea hivi hivi bila kumkanya atakuja kukukosea heshima hata mbele ya kadamnasi au mbele ya wanao

kuna moja nimeshuhudia uncle wangu mimi akitukanwa na mkewe kua Uncle anatatuliwa linda kisa Uncle alimuuliza mkewe mbona umechukua pesa kwenye akiba bila kinijulisha hii imenisikitisha sana nikasema sitaruhusu mkewangu anizoee namna hii atakula viboko

Sent from my SM-A127F using JamiiForums mobile app
Na huyo mke wa uncle wako alipo maliza kutamka hilo neno hakujikuta amemkia wodini...???
 
Back
Top Bottom