Tusisahau: Bado Taifa Stars ina deni la kuvunja rekodi ya mwaka 1980 ingawa tumefuzu!

Tusisahau: Bado Taifa Stars ina deni la kuvunja rekodi ya mwaka 1980 ingawa tumefuzu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Taifa Stars wasibweteke kwani bado hawajavunja rekodi ya akina Peter Tino na Tenga ya mwaka 1980.

This time tumefuzu tukiwa washindi wa pili kama Kenya na Burundi baada ya timu kuwa zimeongezwa kutoka 16 hadi 24

Hivyo Stars wanapaswa kujituma zaidi kwa kwenda mbali zaidi ya pale walipoishia akina Juma Pondamali mwaka ule wa 1980.

Niwatakie kila la kheri katika maandalizi ya Afcon hapo mwezi June.

Maendeleo hayana vyama!
 
Namkumbuka Peter Tino Na Ngulungu

Miaka 39 ilyopita Ni Kama Juzi Kwenye memory Za Mpira
Ni kama juzi tu mkuu!

Enzi zile wachezaji walijawa na uzalendo..... Wachezaji walikuwa tayari kufia uwanjani rip Hussein Tindwa akilipigania taifa kupitia Simba SC!
 
Tino hadi leo jinsi anavyotembea akipiga penalty hudaki ila hawajamaa inaonekana walikuwa dhahabu sana maana wayback kisha unashinda na kwenda Nigeria na najua timu nyingi sana zilipania

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa Stars wasibweteke kwani bado hawajavunja rekodi ya akina Peter Tino na Tenga ya mwaka 1980.

This time tumefuzu tukiwa washindi wa pili kama Kenya na Burundi baada ya timu kuwa zimeongezwa kutoka 16 hadi 24

Hivyo Stars wanapaswa kujituma zaidi kwa kwenda mbali zaidi ya pale walipoishia akina Juma Pondamali mwaka ule wa 1980.

Niwatakie kila la kheri katika maandalizi ya Afcon hapo mwezi June.

Maendeleo hayana vyama!
Nadhani kombe la dunia ndo watakuwa wamefanya kitu kikubwa zaidi japo hata wakifanikiwa kuvuka group stage Egypt si mbaya sana
 
Write your reply...Nilikuwa Nigeria Decembar 2018.Nilikuwa hotel moja NMRI kuna mfanyakazi alinieleza maajabu ya taifa stars iliyoyafanya Nigeria hadi wenyeji waakawashangilia.Alimtaja sana kipa JUMA PONDAMALI.
Hebu fafanua ndugu yangu, tupate mzuka mkuu.....
 
Back
Top Bottom