johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Taifa Stars wasibweteke kwani bado hawajavunja rekodi ya akina Peter Tino na Tenga ya mwaka 1980.
This time tumefuzu tukiwa washindi wa pili kama Kenya na Burundi baada ya timu kuwa zimeongezwa kutoka 16 hadi 24
Hivyo Stars wanapaswa kujituma zaidi kwa kwenda mbali zaidi ya pale walipoishia akina Juma Pondamali mwaka ule wa 1980.
Niwatakie kila la kheri katika maandalizi ya Afcon hapo mwezi June.
Maendeleo hayana vyama!