johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ni kama juzi tu mkuu!Namkumbuka Peter Tino Na Ngulungu
Miaka 39 ilyopita Ni Kama Juzi Kwenye memory Za Mpira
Ni kama juzi tu mkuu!
Enzi zile wachezaji walijawa na uzalendo..... Wachezaji walikuwa tayari kufia uwanjani rip Hussein Tindwa akilipigania taifa kupitia Simba SC!
Hahahaa...... Mapembelo laki si pesa, nashukuru!we kamwene na mpira wapi na wapi timu zimengezwa mpaka 24 sio 32
Hivi Hassan Gobos alikuwemo kikosi cha '80?Hassan Gobos, Mkweche acha tu
Ile ilikuwa siyo masihara sema wakati ule wanasiasa walikuwa watulivu sana!Tino hadi leo jinsi anavyotembea akipiga penalty hudaki ila hawajamaa inaonekana walikuwa dhahabu sana maana wayback kisha unashinda na kwenda Nigeria na najua timu nyingi sana zilipania
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani kombe la dunia ndo watakuwa wamefanya kitu kikubwa zaidi japo hata wakifanikiwa kuvuka group stage Egypt si mbaya sanaTaifa Stars wasibweteke kwani bado hawajavunja rekodi ya akina Peter Tino na Tenga ya mwaka 1980.
This time tumefuzu tukiwa washindi wa pili kama Kenya na Burundi baada ya timu kuwa zimeongezwa kutoka 16 hadi 24
Hivyo Stars wanapaswa kujituma zaidi kwa kwenda mbali zaidi ya pale walipoishia akina Juma Pondamali mwaka ule wa 1980.
Niwatakie kila la kheri katika maandalizi ya Afcon hapo mwezi June.
Maendeleo hayana vyama!
Hebu fafanua ndugu yangu, tupate mzuka mkuu.....Write your reply...Nilikuwa Nigeria Decembar 2018.Nilikuwa hotel moja NMRI kuna mfanyakazi alinieleza maajabu ya taifa stars iliyoyafanya Nigeria hadi wenyeji waakawashangilia.Alimtaja sana kipa JUMA PONDAMALI.