Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

Makavuli

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
1,425
Reaction score
1,829
Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi!

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Timu inacheza vile vile utadhani wapo, nafasi zao mpaka sasa zimezibwa vizuri na performance ya hali ya juu!
Germany machine ndio kwanza ajatimiza ata mwezi kwenye kikosi vipi akipata pre season ya kutosha si itakuwa balaa!
 
IMG-20241207-WA0005.jpg
 
Vipi huko bondeni hali ya hewa ikoje? Huku kileleni kuna baridi kaaali saaana
Baridi Kali eti ushachungulia takwimu zilivyo mpaka sasa,,yanga goli 32, Simba goli 31, za kufungwa Simba 5, yanga 6, kabla ya hapo nadhani unajua takwimu zilikuwaje kwa maana iyo kinachofata unakijua point Moja iyo ni suala la muda tu utarudi kule unakostahili kuwa!
 
Ni wachezaji muhimu na mhimili kwenye kikosi cha kwanza lakini awapo kwasababu za majeraha lakini iyo aijafanya timu itetereke bali dhana nzima ya team work inafanya kazi!

Soma Pia: Full Time: Yanga SC 5-0 Fountain Gates FC | NBC Premier League | KMC Complex | 29 Disemba, 2024

Timu inacheza vile vile utadhani wapo, nafasi zao mpaka sasa zimezibwa vizuri na performance ya hali ya juu!
Germany machine ndio kwanza ajatimiza ata mwezi kwenye kikosi vipi akipata pre season ya kutosha si itakuwa balaa!
Hao hawa effect kwa yanga, ondoa job , baka, aucho
 
Baridi Kali eti ushachungulia takwimu zilivyo mpaka sasa,,yanga goli 32, Simba goli 31, za kufungwa Simba 5, yanga 6, kabla ya hapo nadhani unajua takwimu zilikuwaje kwa maana iyo kinachofata unakijua point Moja iyo ni suala la muda tu utarudi kule unakostahili kuwa!
Wewe baki kuwazia hiyo point moja, msimu ukiisha na tofauti ya point moja utabaki hivyo hivyo na mahesabu yako. Point moja haijaondoa ukweli kuwa aliye kileleni ni timu moja tu.

Misimu miwili nyuma Simba ilimaliza msimu na magoli mengi ya kufunga na machache ya kufungwa, mlipokuwa mnaambiwa hizo takwimu majibu yenu yalikuwa hilo ndiyo kombe lenu.
 
Sasa mambo ni tofauti na hesabu ni tofauti koki zishafunguliwa subilia jibu utalipata tuombe uzima!
 
Nyie ndiyo huwa mnakufaga kwa presha. Umejipa matumaini kuliko uhalisia.

Ninachojua nyie hamna timu ya kumfunga Azam, hapo derby nayo haitabiriki ingawa unajiaminisha mnaenda kushinda na kuna katimu kengine katawatoa nishai kuna siku nitakataja, wewe umebaki kuwazia point moja.
 
Haitabiriki?? Kuwa serious bas
 
Nyie ndiyo huwa mnakufaga kwa presha. Umejipa matumaini kuliko uhalisia.

Ninachojua nyie hamna timu ya kumfunga Azam, hapo derby nayo haitabiriki ingawa unajiaminisha mnaenda kushinda na kuna katimu kengine katawatoa nishai kuna siku nitakataja, wewe umebaki kuwazia point moja.
Wacha wee,,atuna timu ya kumfunga Azam??? Unadhani yanga Ile iliyofungwa goli Moja na Azam baada ya kadi nyekundu ndiyo hii,,yanga Haina timu ya kumfunga Azam lakini Simba ndiyo yenye timu ya kumfunga Azam au sio bwana!
 
Wachezaji wa Yanga wamechoka bloo. Siangalii mechi za Yanga ila naangalia kwa makini highlights zenu naona kabisa hamna kitu.

Siongei kishabiki ninaposema mkicheza na timu yoyote msimu huu yenye ari na nia kweli ya kushinda hiyo mechi, hamshindi hiyo mechi. Na naamini Azam watacheza kwa ari ya kuwafunga.
 
Back
Top Bottom