Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

Tusisahau no Diarra, no Musonda, no Max, no Chama, no Yao Yao but no problem!

Baridi Kali eti ushachungulia takwimu zilivyo mpaka sasa,,yanga goli 32, Simba goli 31, za kufungwa Simba 5, yanga 6, kabla ya hapo nadhani unajua takwimu zilikuwaje kwa maana iyo kinachofata unakijua point Moja iyo ni suala la muda tu utarudi kule unakostahili kuwa!
siku Yanga anacheza na Simba , Simba alikuwa nyuma ya Yanga ila Simba alipambana mpk akachukua nafas ya kwanza
 
Wapi nimesema nashinda
Kwani hapa ulikuwa na maana gani au unakimbia maneno yako mwenyewe baada ya kukupelekea moto.

1000036763.jpg
 
Baridi Kali eti ushachungulia takwimu zilivyo mpaka sasa,,yanga goli 32, Simba goli 31, za kufungwa Simba 5, yanga 6, kabla ya hapo nadhani unajua takwimu zilikuwaje kwa maana iyo kinachofata unakijua point Moja iyo ni suala la muda tu utarudi kule unakostahili kuwa!
Tungekuwa tunaangalia magoli..msimu uliopita Azam asingekuwa nafasi ya pili.
 
Wachezaji wa Yanga wamechoka bloo. Siangalii mechi za Yanga ila naangalia kwa makini highlights zenu naona kabisa hamna kitu.

Siongei kishabiki ninaposema mkicheza na timu yoyote msimu huu yenye ari na nia kweli ya kushinda hiyo mechi, hamshindi hiyo mechi. Na naamini Azam watacheza kwa ari ya kuwafunga.
Azam watacheza kwa Ari ya kuwafunga yanga isipokuwa wakicheza na Simba awatakuwa na Ari ya kuwafunga isipokuwa yanga tu,,tiyali ushaonyesha ubinafsi hapo,,ngoja tuone waliochoka mwisho wa msimu utatoa majibu!
 
Wacha wee,,atuna timu ya kumfunga Azam??? Unadhani yanga Ile iliyofungwa goli Moja na Azam baada ya kadi nyekundu ndiyo hii,,yanga Haina timu ya kumfunga Azam lakini Simba ndiyo yenye timu ya kumfunga Azam au sio bwana!
Kwa nini ilitolewa kadi nyekundu?
 
Nafikiri ungemuuliza mwenyewe angekupa jibu sahihi
Basi hakuna haja ya kuitaja kadi kama mojawapo ya sababu ya kipigo, maana mwenyewe aliyepewa ndio ana sababu. Maybe kwa kupewa kwake kadi aliisaidia timu yake isipokee kipigo kikubwa zaidi
 
Basi hakuna haja ya kuitaja kadi kama mojawapo ya sababu ya kipigo, maana mwenyewe aliyepewa ndio ana sababu. Maybe kwa kupewa kwake kadi aliisaidia timu yake isipokee kipigo kikubwa zaidi
Baada ya kadi yanga alifungwa goli ngapi wakiwa pungufu kwa dk 50 zilizokuwa zimebakia
 
Back
Top Bottom