Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Kila kundi limepeleka timu hatua ya nusu fainali klabu bingwa, kundi A limepeleka timu 2 (Tp mazembe na Mamelod) kundi C limepeleka timu 1 (Esperance) kundi D limepeleka (Aly Ahly) kwa maana iyo kundi pekee ambalo alijapeleka timu yoyote nusu fainali ni kundi B!
Kundi Hilo lilikuwa na watumishi hewa Kama ifuatavyo;
Asec mimosas
Simba
Jwaneng
Whydad
Tukiangalia kwa jicho la Tatu ubora wa hizi timu hapo tutaona ni timu ambazo zilikuwa na viwango Duni sana ata kuingia robo kwa Simba ilikuwa ni bahati nasibu ya kusaidiwa na mganga wa Rufiji, kwa maana quality ya wachezaji wake ni quality ya kucheza na Namungo au mtibwa sugar na sio CCL!
Bahati nzuri mpira auchezwi chumbani unachezwa hadharani viwango vyao tunaviona na timu yao tunaiona!
Pumba na mchele uwa vinajitenga vikipembuliwa na kama ni pumba zote zinatupwa jalalani au kuwa chakula Cha kuku ndicho kilichotokea kwa timu mbovu zote kuondoshwa hatua ya robo fainali akuna ata moja imesonga mbele!
Kwa maana kwenye makundi yote kundi la Simba ndilo kilikuwa kundi dhaifu kuliko yote!
Namba azidanganyi zimeondoa utata kwa 100%