Tusisahau pia kuweka kumbukumbu sawa, kundi B kwenye CAFCL ndilo halijatoa timu hatua ya nusu fainali

Na bado naongezea ndio timu iliyopigwa nje ndani hatua ya robo fainali, wachezaji wao wanaopatikana tandale kwa mujibu wa mwina kaduguda wameonyesha na kukazia usemi wake wakiwa na mshambuliaji hatari wa kutegemewa saido ntibanzokiza!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuteseka ni kubayaa sana woiiiih
 
Yaani hizi hypes ni mbaya sana.n🀣🀣🀣
 
Kuna wimbo wa Juma Nature unaitwa Jinsi Kijana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimeuwaza sana hapa
 
Endelea tu kupiga punyeto
 
"MASHABIKI WA YANGA NI MAMBWA HAKUNA LOLOTE WANALOJUA KUHUSU KANDANDA ILA MUDA WOTE WANAZOMEA TU UTADHANI MANYANI" - DR LUC EYMAEL 2020
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga lazima akili za kichwani zinaanza kupungua.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Muda mrefu nilisema kundi la makolo ni dhaifu kuna watu walibisha
 
Kwahiyo inasaidia nini kwa Utopolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…