Simba lunyasi
JF-Expert Member
- Sep 28, 2022
- 385
- 840
Atapigwa kama ngoma.Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa.
Tuzipe umuhimu sawa maana zote zinawakilisha nchi yetu.
Viva Simba SC, viva Yanga S.C viva [emoji1241] [emoji1241]
Mkuu uzalendo mbeleAtapigwa kama ngoma.
Tupo, nashangaa hii mechi hawaipi kipaumbele wakati ni mechi kubwa sanaKumbe mupo [emoji849]
Sawa babu.Mkuu uzalendo mbele
Mechi ambayo watu tutajua Simba anashinda, tunaizungumzia Game ambayo aibu ya taifa itatufika kama Taifa.Tupo, nashangaa hii mechi hawaipi kipaumbele wakati ni mechi kubwa sana
Wazoefu wa kutolewa wengi tunajua hiloSimba wameshaizoea hi hatua Kwa hiyo ni wazoefu.hatuna wasiwasi nao.
Yaani mchezo wa Simba umesahaulika kabisa huku ndio unaotangulia ule wa Yanga.Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa.
Tuzipe umuhimu sawa maana zote zinawakilisha nchi yetu.
Viva Simba SC, viva Yanga S.C viva [emoji1241] [emoji1241]
Sijasema...ni experience ngeni kwao huku kwa mabingwa...Kwahiyo unataka kusema yanga ni kama bahati tu kufika robo fainal
HahaaaaaSImba kama mtoto wa kambo anaeishi kwa wazazi wa mama kambo. Hakumbukwi mpaka kuhitajike kusafishwa mavi ya ng'ombeπππ