Tusisahau Simba nayo inacheza Ijumaa na Aly Ahly

Simba lunyasi

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2022
Posts
385
Reaction score
840
Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa.

Tuzipe umuhimu sawa maana zote zinawakilisha nchi yetu.
Viva Simba SC, viva Yanga S.C viva [emoji1241] [emoji1241]
 
Atapigwa kama ngoma.
 
SImba kama mtoto wa kambo anaeishi kwa wazazi wa mama kambo. Hakumbukwi mpaka kuhitajike kusafishwa mavi ya ng'ombe😀😀😀
 
Simba wameshaizoea hi hatua Kwa hiyo ni wazoefu.hatuna wasiwasi nao.
 
Wakati tunazungumzia mechi ya Yanga na Mamelodi siku ya jumamosi tusisahau pia Simba ni timu yetu nayo inacheza robo fainali ya klabu bingwa Afrika siku ya ijumaa.

Tuzipe umuhimu sawa maana zote zinawakilisha nchi yetu.
Viva Simba SC, viva Yanga S.C viva [emoji1241] [emoji1241]
Yaani mchezo wa Simba umesahaulika kabisa huku ndio unaotangulia ule wa Yanga.

Ni kweli tuweni wazalendo tuzishangilie timu zetu zote kwa nguvu moja.
 
Back
Top Bottom