Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Faizafoxy amezeeka hadi ameanza kusahau mambo mengi hasa misamiati ya lugha ya kiingereza.Lililobakia ni kumualika kila tunapohitaji wachambua mchele wa shughuli ajumuikeAsamehewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokujua kiingereza kama mtu au nchi,moja kwa moja ni "landlocked country".Mchina na wingi wake wote lkn kwa sasa bila lugha ya kiingereza hatoboi katka uchumi wake, na bila kujua kiingereza ni ngumu sana kupata ajira china.Elewa kuwa mchina ndiye mtawala wa soko katika dunia ya sasa.Na ungejua Msumbiji na nchi nyingine zinazojua lugha moja tu na sio kiingereza kwa sasa wananchi wake wana hali mbaya sana ya kiuchumi kuliko wakati wowote ule hasa hizi nchi masikini za kiafrika.
Kwa ujinga wako wa udini unataka tutumie kiarabu, hakika wewe umejaa mavi ya waarabu kichwani mwakoKwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Ungekuwa hujui kizungu ungefika huko na kufanya kazi?Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Hapa kwenye lugha tusidanganyane kabisa! Kujua lugha nyingi zaidi kwa ulimwengu wa sasa ni asset, siyo liability. Nilikwenda Poland nikakutana na vijana wanaojua lugha tano: Kipolishi, Kirusi, Kiingereza, Kifaransa na Kijerumani na wamelenga fursa za ajira katika hizo nchi. Nilifanya ujinga zamani, sitafanya hivyo kwa watoto wangu. Nilikuwa na fursa ya kujifunza Kisukuma kwa sababu nilisoma Usukumani, lakini sikufanya hivyo. Nikaenda Kilimanjaro (Moshi), miaka 6 sikujifunza Kichagga, nikaenda Zambia mwaka mmoja, sikujifunza Chibemba. Nilikuwa na fursa ya kujifunza Kifaransa kwa miaka 3 sikujifunza Kifaransa. Nilianza kufunguka nilipokwenda Malawi, nikajifunza Chichewa, baadaye Uingereza nikajifunza Kiingereza, baadaye Ufaransa nikajifunza Kifaransa na baadaye Poland, nikajifunza Kipolishi na baada ya siku 12 niliweza kusalimiana na hata kupigiana simu na wenyeji. Na wenzangu ambao nilikuwa nao maeneno yote hayo wanaongea lugha zote hizo utafikiri walizaliwa wakiongea hizo lugha. Ukiwalinganisha wao na mimi, kuna sehemu tukienda inabidi waniongoze wao. Leo nikisikia mtu anawadanganya wengine kuhusu lugha, simwelewi kabisa. Kila mtu ana uhuru wa kujifunza na kuwekeza katika lugha anayoipenda. Mawazo ya kizamani zamani hayana nafasi katika ulimwengu wa leo. Ukiweza kujifunza lugha nyingi zaidi, fanya hivyo. Ni fursa. Tanzania (Arusha), kwa mfano, ina'host' mahakama mbili - moja ya Haki za Binadamu ya Afrika Mashariki na nyingine ya Afrika - na zote kama unaomba kazi unaotakiwa uwe unajua Kiingereza na Kifaransa. Na kuna baadhi ya vijana wenye sifa, lakini kwa sababu ya limitation ya lugha wanakosa fursa za ajira. Hivyo, kwenye lugha hapa hakuna kudanganyana kabisa!Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Mimi sijaponda kiongoziKitendo cha kuponda english kwa ulimwengu wa sasa, na hasa kwa taifa kama hili la kwetu ni utani
Khaaa! Lugha zote hukua na kubadilika kila wakati. Kiswahili kilichozungumzwa 1900 ni tofauti sana na cha sasa.Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:

Eti leo mtu mwingine aje na mawazo yalitopitwa na wakati atudanganye, kweli? Hapana!Watanzania wamefikia sehemu wanatoa pesa ili walipe kugongewa passport zao hata kutoka Nakonde hapo kisa Lugha ni tatizo yaani muhuri wa Entry Zambia wanaununua kitu ambacho ukiwa na lugha imesimama hautakuja kufanya huo ujinga mpaka unaacha safari vijana wengi wanadunda Hong Kong kisa lugha tu ni tatizo na wale jamaa ukishindwa kujieleza tu ni nyumbani unarudishwa na ndege uliyokuja nayo...
Bibi umerogwa wewe sio bure. Kwa hiyo unapigia chapuo kiarabu chenu chenye majini? Acha ufala wewe bibi ushakuwa mkubwa sasa.Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Mkuu umemaliza kila kitu. Wahafidhina wengi including Magufuli na wajinga wengine wana mambo ya kipimbi sana.Khaaa! Lugha zote hukua na kubadilika kila wakati. Kiswahili kilichozungumzwa 1900 ni tofauti sana na cha sasa.
Kiingereza hakina asili?!!!🙄
Barabara =njia
Barabara =sawia
Watch=angalia
Watch=saa
Jifunze Kiingereza kitakusaidia sana. Kiswahili kimetufanya watanzania kuwa wajinga kwani ni vigumu kujifunza mambo mengi yanayokuja katika lugha ya kimataifa eg kiingereza.
Kiswahili kimetufanya maskini. Mambo mazuri ya Tanzania kama vivutio vya kitalii etc havijulikani licha ya kuwa superior kuliko vya Kenya au South Africa sababu.
Kiswahili kime tu disconnect na dunia; hawatuelewi na hatuwaelewi.
Wahafidhina na watu wengi undemocratic na wasio weledi huchukia kiingereza eg magufuli na wengine.
Leo nimeelewa kwanini unachukia kiingereza na pia kwanini unaishabikia CCM, ni kwa sababu ya madrasa.
Wasipokuelewa na hapa basi hamna kitu watakuja kuelewa katika hii duniaKwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
Moja: nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa ilikuwa ni Kiarabu kwenye madrasa, nilipoanza shule (school) lugha ya kwanza ya kusomeshewa ikawa ni Kingereza, masomo yote tulifundishwa kwa Kingereza kasoro somo la Kiswahili na dini tu, kwa Waislam, lugha ya kusomeshewa dini shule ilikuwa ni Kiswahili, ingawa tulikuwa na vipindi viwili vya kusoma dini katika juma zima, waliosoma Dar., watamkumbuka Mwalimu wetu wa somo la Dini ya Kiislam kwenye shule nyingi, za mjini Dar, maana alikuwa akitoka moja anakwenda nyingine kusomesha kipindi cheke, alikuwa akiitwa Maalim JanMohamad na alikua ni vigumu kumsahau kwani alikuwa na ulemavu wa miguu.
Mwalimu JanMohamad alikuwa na asili ya Zanzibar, aliongea Kiswahili na Kingereza vizuri sana, kiasi alikuwa akifundisha kwa lugha zote tatu katika somo lake la dini, Kiarabu, Kiswahili na Kingereza.
Mbili: Nilipoingia utu uzima nikabahatika kuondoka Tanzania na kwenda kuishi nje ya Tanzania, kwa kusoma na kufanya kazi huko kwa miaka mingi sana, nikawa katika mji ambao Kingereza ndiyo ilikuwa lugha ya kwanza, nyingine ikiwa ni Kifaransa kwa apendae, hakikulazimishwa.
Pamoja na mengine, nikaendelea kujifunza na kufundishwa Kingereza miaka yote, hadi leo hii. Nikidhani kuwa Kingereza ni lugha bora duniani. Kwa bahati nzuri au mbaya, nilikuwa sipo sahihi kabisa baada ya kufahamu kuwa Kingereza ni lugha ya kubuni buni tu na haina uasilia.
Nimefikia tamati ya kusema kuwa tusikihobokee Kingereza, siyo lugha ya maana na inapoteza muda mwingi sana kukielewa na hata utapodhani umekielewa utajikuta hujakielewa kwa sababu ni lugha inayobadilika badilika mara kwa mara na pia haina uasili kwa hiyo ina maneno mengi sana ya kuazima kutokea lugha nzingine na kuyabadili badili kidogo ili yasikike kama "Kingereza".
Kingine ambacho hakuna katika Kingereza ni lafdhi ya asili, kila mtu anaeongea Kingereza kwa lafdhi yake na anatamka Kingereza tofauti na mwengine, haijalishi ni Muingereza au kama lugha mama kwake ni Kingereza, atakuwa na kasoro ya matamshi (phenetic) au wengine huita "accent", kwa sababu Kingereza hakina uasili.
Kingine ni hiki cha maneno ya Kingereza, neno lilelile moja linavyoandikwa lakini linatamkwa tofauti na lingine linapoongewa. Hili hakuna lisiye mchosha. Mfano neno chozi ni "tear" kwa Kingereza na hiyo hiyo "tear" pia ni chana. Neno "watch" linaweza kuwa kutazama, kulinda na wakati huo huo ni neno saa. Ndiyo, saa ya mkono ni "watch" kwa Kingereza.
Ndipo Watanzania wengi hufanya utani wa tafsiri ya Kingereza kwa Kiswahili, mfano wa haraka ni sambusa, "clockmosquitoclock". Saa imeshabadilika imekuwa "clock".
Kwa ufupi, tusishobokee Kingereza, kina athari kubwa sana ya kutujaza ujinga. Tukienzi na kukishobokea Kiswahili chetu, ni lugha tamu sana. Tena nasisitiza, serikali iwachane kabisa na mpango wa "Kiswahili sanifu", kwanini ukaisanifu lugha yenye asili? Naamini Kiswahili sanifu ni ujinga wawache kujaribu kukiondowa Kiswahili kwenye uarabu.
Kiswahili ni lugha tamu, historia inatuonesha hata kina Ibn Batuta, waliokuja miaka mingi kabla ya wazungu walikikuta Kiswahili kinaongewa na kuandikwa pwani ya mashariki ya Afrika.
Historia haijaishia hapo, inatuonesha kuwa hata kina Mkwawa. Kimweri, Abdul rauf Songea Mbane na machifu wengine wa bara walikuwa wanaongea na kuandika Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu, ambazo hazina shaka ndani yake, barua zao zipo kihistoria.
Mkoloni alipokuja, kama kawaida ili akutawale vizuri ni lazima akudunishe na ujione wewe si lolote si chochote, anaanza kukudunisha kwa lugha take mabayo kama hukuielewa unaonekaza siyo wa maana. Amefanikiwa sna kwenye hilo, mpaka imefikia wakati, tunakidharau Kiswahili chetu na kuona wa maana kati yetu ni yule mwenye kukijuwa Kingereza. Hatupo sahihi kabisa.
Tutakuwa wa maana zaidi tukikienzi Kisahili chetu na kukikuza kutpokana na asili yake na siyo kukisanifu, maana halisi ya neno sanifu, ni kukitania. Hivi kwanini mapoaka tufikie kukitania Kiswahili chetu?
Baraza la Kiswahili Tanzania linafanya kazi mbovu kabisa ya kukiharibu Kiswahili, kukitowa kwenye uasili wake na kukipeleka wapi sielewi.
Asili ya Kiswahili ni pwani, tusijaribu kukisanifu na kukiondowa uhalisia wake kwa kudhani tu, Kiswahili nilugha ya Kiislam. Ujinga mwingine tuliojazwa na wazungu, mpaka imefikia kuna Watanzania hapa hapoa JF wanasema Kingereza ni "lugha ya kikatoliki" Ni ujinga huo.
Tuyaenzi matamshi na matamko ya Kiswahili, tena nashauri Kiswahili kifundishwe kwa herufi a Kiarabu mashuleni, hatutakosea, ndiyo asili yake.
Kujaribu kukiondowa Kiswahili na asili yake na lafdhi yake ya pwani ya mashariki ya Afrika ni kama kujaribu kuifanya bahari iwe dimbwi.
Nawasilisha.
Alishakufa.. hatupiti tenaUsipo jua kingereza unapitwa na Mengi
Kama unawaza hivi basi hujatembea duniani, nimetembea nchi nyingi tena cha ajabu hata ulaya kuna nchi hawajui kingerezaHili halina ubishi kabisa,lugha zetu tuziendeleze ila medium of communication popote utakapokanyaga katika dunia hii ni kingereza
unakiponda kingereza na bado kinakufaidisha kutafuta K*ma kirahisiKama unawaza hivi basi hujatembea duniani, nimetembea nchi nyingi tena cha ajabu hata ulaya kuna nchi hawajui kingereza
English ndio business language dunian. Huwez ukaww na lugha maarufu bila kuwa na other influence, mfano :uchumi mkubwa, influence, viwanda vikubwa, jeshi kubwa.Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili: