Tusishobokee Kingereza, ni moja katika lugha mbovu duniani

Faizafoxy amezeeka hadi ameanza kusahau mambo mengi hasa misamiati ya lugha ya kiingereza.Lililobakia ni kumualika kila tunapohitaji wachambua mchele wa shughuli ajumuikeAsamehewe.
 
Mchina na wingi wake wote lkn kwa sasa bila lugha ya kiingereza hatoboi katka uchumi wake, na bila kujua kiingereza ni ngumu sana kupata ajira china.Elewa kuwa mchina ndiye mtawala wa soko katika dunia ya sasa.Na ungejua Msumbiji na nchi nyingine zinazojua lugha moja tu na sio kiingereza kwa sasa wananchi wake wana hali mbaya sana ya kiuchumi kuliko wakati wowote ule hasa hizi nchi masikini za kiafrika.
 
Kutokujua kiingereza kama mtu au nchi,moja kwa moja ni "landlocked country".
 
Shida moja ya Kiingereza, lugha inatakiwa itamkwe kama inavyoandikwa. Maandishi huwakilisha sauti, kama ilivyo kwa kiswahili. Bahati mbaya kiingereza hakipo hivyo kabisa. Ni lugha mbovu kwa upande huo.
 
Kwa ujinga wako wa udini unataka tutumie kiarabu, hakika wewe umejaa mavi ya waarabu kichwani mwako
 
Ungekuwa hujui kizungu ungefika huko na kufanya kazi?
Wewe wanao umewaweka mbali na kizungu?
 
Hapa kwenye lugha tusidanganyane kabisa! Kujua lugha nyingi zaidi kwa ulimwengu wa sasa ni asset, siyo liability. Nilikwenda Poland nikakutana na vijana wanaojua lugha tano: Kipolishi, Kirusi, Kiingereza, Kifaransa na Kijerumani na wamelenga fursa za ajira katika hizo nchi. Nilifanya ujinga zamani, sitafanya hivyo kwa watoto wangu. Nilikuwa na fursa ya kujifunza Kisukuma kwa sababu nilisoma Usukumani, lakini sikufanya hivyo. Nikaenda Kilimanjaro (Moshi), miaka 6 sikujifunza Kichagga, nikaenda Zambia mwaka mmoja, sikujifunza Chibemba. Nilikuwa na fursa ya kujifunza Kifaransa kwa miaka 3 sikujifunza Kifaransa. Nilianza kufunguka nilipokwenda Malawi, nikajifunza Chichewa, baadaye Uingereza nikajifunza Kiingereza, baadaye Ufaransa nikajifunza Kifaransa na baadaye Poland, nikajifunza Kipolishi na baada ya siku 12 niliweza kusalimiana na hata kupigiana simu na wenyeji. Na wenzangu ambao nilikuwa nao maeneno yote hayo wanaongea lugha zote hizo utafikiri walizaliwa wakiongea hizo lugha. Ukiwalinganisha wao na mimi, kuna sehemu tukienda inabidi waniongoze wao. Leo nikisikia mtu anawadanganya wengine kuhusu lugha, simwelewi kabisa. Kila mtu ana uhuru wa kujifunza na kuwekeza katika lugha anayoipenda. Mawazo ya kizamani zamani hayana nafasi katika ulimwengu wa leo. Ukiweza kujifunza lugha nyingi zaidi, fanya hivyo. Ni fursa. Tanzania (Arusha), kwa mfano, ina'host' mahakama mbili - moja ya Haki za Binadamu ya Afrika Mashariki na nyingine ya Afrika - na zote kama unaomba kazi unaotakiwa uwe unajua Kiingereza na Kifaransa. Na kuna baadhi ya vijana wenye sifa, lakini kwa sababu ya limitation ya lugha wanakosa fursa za ajira. Hivyo, kwenye lugha hapa hakuna kudanganyana kabisa!
 
Watanzania wamefikia sehemu wanatoa pesa ili walipe kugongewa passport zao hata kutoka Nakonde hapo kisa Lugha ni tatizo yaani muhuri wa Entry Zambia wanaununua kitu ambacho ukiwa na lugha imesimama hautakuja kufanya huo ujinga mpaka unaacha safari vijana wengi wanadunda Hong Kong kisa lugha tu ni tatizo na wale jamaa ukishindwa kujieleza tu ni nyumbani unarudishwa na ndege uliyokuja nayo...
 
Wewe usiwaingize watu chaka ,kiingereza ni lugha ya kibiashara....Hata kama kiswahili ni kitamu ni muhimu kujua lugha za kibiashara ,ukiaweza kujua international languages umetoboa kimaisha.

-Kifaransa
-Kiarabu
-Kiingereza
-Kispanishi
-Kichina(Hawa wapo world wide so ukijua lugha yao vizuri ni rahisi kupata connection na wakakutumia).
 
Khaaa! Lugha zote hukua na kubadilika kila wakati. Kiswahili kilichozungumzwa 1900 ni tofauti sana na cha sasa.

Kiingereza hakina asili?!!!🙄

Barabara =njia
Barabara =sawia
Watch=angalia
Watch=saa

Jifunze Kiingereza kitakusaidia sana. Kiswahili kimetufanya watanzania kuwa wajinga kwani ni vigumu kujifunza mambo mengi yanayokuja katika lugha ya kimataifa eg kiingereza.

Kiswahili kimetufanya maskini. Mambo mazuri ya Tanzania kama vivutio vya kitalii etc havijulikani licha ya kuwa superior kuliko vya Kenya au South Africa sababu.

Kiswahili kime tu disconnect na dunia; hawatuelewi na hatuwaelewi.

Wahafidhina na watu wengi undemocratic na wasio weledi huchukia kiingereza eg magufuli na wengine.

Leo nimeelewa kwanini unachukia kiingereza na pia kwanini unaishabikia CCM, ni kwa sababu ya madrasa.
 
Eti leo mtu mwingine aje na mawazo yalitopitwa na wakati atudanganye, kweli? Hapana!
 
Bibi umerogwa wewe sio bure. Kwa hiyo unapigia chapuo kiarabu chenu chenye majini? Acha ufala wewe bibi ushakuwa mkubwa sasa.
 
Mkuu umemaliza kila kitu. Wahafidhina wengi including Magufuli na wajinga wengine wana mambo ya kipimbi sana.
 
Ni kweli Kiswahili ni lugha nzuri sana nakubaliana na wewe.

Shida ni kwenye utafutaji kinatakiwa kiingereza, lazima ujue kiingereza ndio upate kazi, maeneo mengi/nchi nyingi zinakuhitaji uzungumze kiingereza ndio upate kazi, Hata wewe hapo ulipo Canada inakubidi utumie kiingereza kuwasiliana.
Kimataifa ili ufanye biashara na watu mbalimbali unahitaji kuongea na kukifahamu kiingereza.
 
Wasipokuelewa na hapa basi hamna kitu watakuja kuelewa katika hii dunia
 
Hili halina ubishi kabisa,lugha zetu tuziendeleze ila medium of communication popote utakapokanyaga katika dunia hii ni kingereza
Kama unawaza hivi basi hujatembea duniani, nimetembea nchi nyingi tena cha ajabu hata ulaya kuna nchi hawajui kingereza
 
English ndio business language dunian. Huwez ukaww na lugha maarufu bila kuwa na other influence, mfano :uchumi mkubwa, influence, viwanda vikubwa, jeshi kubwa.
Kiswahili akitakaa kikue sababu kwanza tz haina influence hiko nje, haina power, haina uchumi mkubwa

lastly kiswahili si lugha ya kiislam, kiswahil ni combination ya lugha nyingine kutoka jamii zilizopo nchini na jirani ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…