Tusishobokee Kingereza, ni moja katika lugha mbovu duniani

Kama umesoma lugha na unashindwa kufahamu vitu kidogo, kuwa sifa kuu ya lugha ni uhai, inazaliwa, inakua na inakufa ( baadhi ya misamiati inaondoka basi unanipa wasiwasi
 
Yapo mataifa makubwa hawajui kingereza ila all in all kingereza ni lugha ya kimataifa
 
Hapo kwenye no 2 uliposema umekaa sana nje ya nchi na kusoma hukuhuko,nimegundua kuwa ni Canada,si ungesema tu umewahi kuishi Canada kwa muda mrefu..
 
Miongoni mwa watu wachache duniani wanaopaswa kupigwa marufuku wasiseme chochote kabisa ni pamoja na huyu mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Ujinga.
 
Ukiweka unafiki pembeni, utakubaliana na Ukweli kwamba Kiingereza ndio Lugha pekee ambayo imesambaa sehemu kubwa zaidi hapa duniani. Watu wengi zaidi wanatumia Kiingereza Kama Lugha yao ya mawasiliano, hata kwenye zile nchi ambazo zinajulikana kuwa ni 'non-English speaking countries.'
 
Njia mojawapo ya kutawala watu huku wanachekelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…