WE KWELI MBWA KAMA ALIVYOSEMA EYMAEL KWANI HIZO HABARI ZA MANZOKI WANAANDIKA VIONGOZI WA SIMBA AU.Mmezoea. Mlivokosa haya mtaanza tena tetesi za huyo mtu kutua Simba. Nashauri mkome kabisa. Mnachafua sana mitandao kwa tetesi magadi wakati hela hamna. Mkome
Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Mara Adebayor kimya, mara Manzoki kimya.Mwanzo walidai manzoki yuko dar, baadae wakadai amepanda ndege kuja dar mwisho wa siku hakuna lolote. Next season wataanza tena kuleta tetesi za huyo madodoki
Simba wanaongoza kwa umbumbumbuWatanzania si wajinga wajinga tu
hahahahahaSimba wanaongoza kwa umbumbumbu
Yanga wao ni manyani kabisa kwa mujibu wa Kocha LucySimba wanaongoza kwa umbumbumbu
Miqissone mchukueni nyinyi pale yanga hawezi kupata nambaVipi miqissone ? Injinia amevunja kibubu? Au ndio kelele na muendelezo wa kuchafua mitandao kamw unavyo sema?
Kwa taarifa tu gharama za kumpata Baleke ni kubwa kuliko zilizotumika kumpata Manzoki. Nimesema 'zilizotumika' maana Manzoki hadi sasa ni mchezaji wa Simba kimkataba, ila hajaorodheshwa katika list maana angekuja kukaa bila kucheza akiuguza jeraha la miezi mitatu nje ya uwanjaMmezoea. Mlivokosa haya mtaanza tena tetesi za huyo mtu kutua Simba. Nashauri mkome kabisa. Mnachafua sana mitandao kwa tetesi magadi wakati hela hamna. Mkome
Acha uongo baleka kapatikana kwa mkopoKwa taarifa tu gharama za kumpata Baleke ni kubwa kuliko zilizotumika kumpata Manzoki. Nimesema 'zilizotumika' maana Manzoki hadi sasa ni mchezaji wa Simba kimkataba, ila hajaorodheshwa katika list maana angekuja kukaa bila kucheza akiuguza jeraha la miezi mitatu nje ya uwanja
Kwani mkopo hauna gharama? Ndio maana kocha wenu Luc Eymael aliwaita mbwa na nyaniAcha uongo baleka kapatikana kwa mkopo
Gharama haifanani na kumnunua mchezajiKwani mkopo hauna gharama? Ndio maana kocha wenu Luc Eymael aliwaita mbwa na nyani
Feisal alinunuliwa kwa sh. ngapi? Tuisila alichukuliwa kwa mkopo wa sh. ngapi? Linganisha hapo halafu ulinganishe na viwango vyao, uniambie nani aliigharimu Yanga zaidi, aliyenunuliwa au aliyechukuliwa kwa mkopoGharama haifanani na kumnunua mchezaji
Hapa hatulinganishi usikimbilie kwa kina Feisal hapa tunasema ukweli kwamba baleke kaja kwa mkopo basi hayo ya kina Feisal tafuta nyuzi zake uka comment huko.Feisal alinunuliwa kwa sh. ngapi? Tuisila alichukuliwa kwa mkopo wa sh. ngapi? Linganisha hapo halafu ulinganishe na viwango vyao, uniambie nani aliigharimu Yanga
Baada ya kutujulisha kuwa amekuja kwa mkopo, hoja ni nini?Hapa hatulinganishi usikimbilie kwa kina Feisal hapa tunasema ukweli kwamba baleke kaja kwa mkopo basi hayo ya kina Feisal tafuta nyuzi zake uka comment huko.