Tusisikie tena stories za Manzoki. Mkome

Tusisikie tena stories za Manzoki. Mkome

Mwanzo walidai manzoki yuko dar, baadae wakadai amepanda ndege kuja dar mwisho wa siku hakuna lolote. Next season wataanza tena kuleta tetesi za huyo madodoki
 
Utopolo na wachezaji wa kuokota walikuwa wanacheza ndondo
 
Mwanzo walidai manzoki yuko dar, baadae wakadai amepanda ndege kuja dar mwisho wa siku hakuna lolote. Next season wataanza tena kuleta tetesi za huyo madodoki
Mara Adebayor kimya, mara Manzoki kimya.

Wapenda mpira mna shida.
 
Vipi miqissone ? Injinia amevunja kibubu? Au ndio kelele na muendelezo wa kuchafua mitandao kamw unavyo sema?
 
Mmezoea. Mlivokosa haya mtaanza tena tetesi za huyo mtu kutua Simba. Nashauri mkome kabisa. Mnachafua sana mitandao kwa tetesi magadi wakati hela hamna. Mkome
Kwa taarifa tu gharama za kumpata Baleke ni kubwa kuliko zilizotumika kumpata Manzoki. Nimesema 'zilizotumika' maana Manzoki hadi sasa ni mchezaji wa Simba kimkataba, ila hajaorodheshwa katika list maana angekuja kukaa bila kucheza akiuguza jeraha la miezi mitatu nje ya uwanja
 
Acha uongo baleka kapatikana kwa mkopo
 
Gharama haifanani na kumnunua mchezaji
Feisal alinunuliwa kwa sh. ngapi? Tuisila alichukuliwa kwa mkopo wa sh. ngapi? Linganisha hapo halafu ulinganishe na viwango vyao, uniambie nani aliigharimu Yanga zaidi, aliyenunuliwa au aliyechukuliwa kwa mkopo
 
Feisal alinunuliwa kwa sh. ngapi? Tuisila alichukuliwa kwa mkopo wa sh. ngapi? Linganisha hapo halafu ulinganishe na viwango vyao, uniambie nani aliigharimu Yanga
Hapa hatulinganishi usikimbilie kwa kina Feisal hapa tunasema ukweli kwamba baleke kaja kwa mkopo basi hayo ya kina Feisal tafuta nyuzi zake uka comment huko.
 
Hapa hatulinganishi usikimbilie kwa kina Feisal hapa tunasema ukweli kwamba baleke kaja kwa mkopo basi hayo ya kina Feisal tafuta nyuzi zake uka comment huko.
Baada ya kutujulisha kuwa amekuja kwa mkopo, hoja ni nini?
 
Back
Top Bottom