Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

Tusisingizie Ukoloni, Waafrika tunafeli wapi, tunashindwa vipi kuwa na nchi hata moja ya kutuwakilisha kwenye nchi 50 zenye maendeleo duniani?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Kama ni ukoloni nchi nyingi sana zilikuwa colonised ila leo zipo mbali

Navyosema nchi zilizioendelea ni watu kwa ujumla kujiweza kiuchumi kuweza kuishi maisha standard, kuwepo kwa huduma za kijamii, elimu inayosaidia jamii, amani, n.k.

Kwa hapa Africa imekuwa ngumu sana, Kuna matajiri lakini watu wengi sana wanaishi maisha ya kimasikini, ukosefu wa huduma za kijamii, n.k.

Black list:

South Africa - Mwafrika hana kitu pale, ni jitihada za makaburu na wazungu types za kina Elon Musk.

Nigeria - nchi ilibidi iwe mbali sana lakini Vita vya udini na ukabila vimeharibu amani

Ghana na Botswana - Ni nchi tunazozisifu waafrika kwa kuwa nchi nyingine zina hali mbaya zaidi ila kwa level za Dunia zipo chini mno

  1. United States
  2. China
  3. Germany
  4. Japan
  5. India
  6. United Kingdom
  7. France
  8. Italy
  9. Canada
  10. Brazil
  11. Russia
  12. South Korea
  13. Mexico
  14. Australia
  15. Spain
  16. Indonesia
  17. Turkey
  18. Netherlands
  19. Saudi Arabia
  20. Switzerland
  21. Poland
  22. Taiwan
  23. Belgium
  24. Sweden
  25. Argentina
  26. Ireland
  27. United Arab Emirates
  28. Austria
  29. Singapore
  30. Thailand
  31. Israel
  32. Norway
  33. Philippines
  34. Vietnam
  35. Bangladesh
  36. Malaysia
  37. Iran
  38. Colombia
  39. Denmark
  40. South Africa
  41. Hong Kong
  42. Romania
  43. Egypt
  44. Pakistan
  45. Czech Republic
  46. Chile
  47. Finland
  48. Portugal
  49. Kazakhstan
  50. Peru

  1. Switzerland
  2. Norway
  3. Iceland
  4. Hong Kong
  5. Denmark
  6. Sweden
  7. Ireland
  8. Germany
  9. Singapore
  10. Netherlands
  11. Australia
  12. Liechtenstein
  13. Belgium
  14. Finland
  15. United Kingdom
  16. New Zealand
  17. United Arab Emirates
  18. Canada
  19. South Korea
  20. Luxembourg
  21. United States
  22. Slovenia
  23. Austria
  24. Japan
  25. Israel
  26. Malta
  27. Spain
  28. France
  29. Cyprus
  30. Italy
  31. Estonia
  32. Czech Republic
  33. Greece
  34. Bahrain
  35. Andorra
  36. Poland
  37. Latvia
  38. Lithuania
  39. Croatia
  40. Qatar
  41. Saudi Arabia
  42. Portugal
  43. San Marino
  44. Chile
  45. Turkey
  46. Slovakia
  47. Hungary
  48. Argentina


  1. Switzerland
  2. Sweden
  3. United States
  4. Singapore
  5. United Kingdom
  6. South Korea
  7. Finland
  8. Netherlands
  9. Germany
  10. Denmark
  11. China
  12. France
  13. Japan
  14. Canada
  15. Israel
  16. Estonia
  17. Austria
  18. Hong Kong
  19. Ireland
  20. Luxembourg
  21. Norway
  22. Iceland
  23. Australia
  24. Belgium
  25. New Zealand
  26. Italy
  27. Cyprus
  28. Spain
  29. Malta
  30. Czech Republic
  31. Portugal
  32. United Arab Emirates
  33. Malaysia
  34. Slovenia
  35. Lithuania
  36. Hungary
  37. Turkey
  38. Bulgaria
  39. India
  40. Poland
  41. Thailand
  42. Latvia
  43. Croatia
  44. Vietnam
  45. Greece
  46. Slovakia
  47. Saudi Arabia
 
Leo tumeingia Afcon for the 4th time. Tujivunie basi.
 
Back
Top Bottom