Pre GE2025 Tusisubiri Rais atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa. Hata kama amevunja katiba yeye pia anakosea

Pre GE2025 Tusisubiri Rais atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa. Hata kama amevunja katiba yeye pia anakosea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
Kuna huu mfumo wa kusubiri mtu atoke madarakani ndio tuanze kumkosoa lakini akiwepo madarakani ni kama watu wengi wanakuwa wamepoteza macho na kujifunga akili mfano mzuri ni kipindi cha utawala wa magufuli.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Katika uhalisia hili suala la kusubiri flani aondoke kwenye cheo ndio tumkosoe linaweza kutugharimu sisi kama taifa na halina msingi wakati wa madidiliko na kueleza mapungufu ndio huu.
 
Back
Top Bottom